Hivi mwanaume asiye na nguvu za kiume.......

Preta preta!
Hebu elezea kidogo, akiwa hana nguvu za kiume anakuwaje? Aisimami au inasimama rojorojo au inasimama kwa machale?

Au kwa muda mfupi kama bata?
Naomba utupe hali ya huyo jamaa ako tupate ilimu.
 
Preta preta!
Hebu elezea kidogo, akiwa hana nguvu za kiume anakuwaje? Aisimami au inasimama rojorojo au inasimama kwa machale?
Au kwa muda mfupi kama bata?
Naomba utupe hali ya huyo jamaa ako tupate ilimu.

Bahati mbaya sijakutana nayo ila kuna uchunguzi fulani natakiwa niufanye ili nirudishe majibu. Habari yako binafsi bana...
 
Preta! We haya we! Usijekuniuliza ulikosea wapi. Nakukanya kaka yako!

Katika watu waliokuwa wamemicwa mwisho wa wiki iliyopita basi ni wewe......nadhani mkuu kiongozi amewasiliana na wewe.....Tukirudi kwenye topic: ni research nafanya ili nijue....usiogope sipo hatarini
 
Anaweza kumpa mimba mwanamke?
.............nimeuliza tu!!

Anaweza (artificial insemination).. kwa kuvuta mbegu kwa sindano.. na kummiminia bibie.. au tumia viagra.
Tatizo linakuja pale ambapo mbegu za kiume zinakosekana.:A S-coffee:
 
Nguvu zakiume ndiyo uhai wa spms ina maana kama hana nguvu zakiume nivigumu kutoa spms kwani spms hutoka wakati uume umesimama na mfumo mzima ukiwa umeishakuwa ingeged hivyo systm kufollow mfumo!sasa kama nguvu zakiume hazifanyi kazi ningumu kupata mtoto!!
 
Mwanaume asiye na nguvu za kiume NANI HII yake ni sawa na munyororo. Munyororo ukiushika hauwezi kusimama wenyewe utaona una-colapse, hivyo hivyo kwa mwanaume. Ili NANI HII iweze ku-penetrate kwa ile NANI HII ya mama, lazima isimame, wewe PRETA unajua ikisimama inavyokuwa, urefu na ukubwa huongezeka ghafla na utaona ina nesanesa kwa usongo mkubwa na hapo tayari kwenu akina PRETA kuanza kulamba CORN.

Hali inapofikia hapo ndipo huwa na uwezo wa ku-penetrate na ku-injaculate. Kama spems zina mbegu basi atakuwa na uwezo wa kumpa mimba mwenza wake. Lakini kama iko kama munyororo haiwezi kamwe kufanya hayo niliyosema hata wewe huwezi kufurahi kulamba CORN mama. Nilikuwa na hayo tu.
 
Hehehe usikute kuna mtu kampa mwenzie mimba alafu akaja na kisingizio cha "sina nguvu mie".Inawezekana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom