Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,371
Yupo Facebook anatengeneza video nyumbani kwake anapostHumphrey Polepole yuko wapi?
Yupo Facebook anatengeneza video nyumbani kwake anapostHumphrey Polepole yuko wapi?
Yupo Facebook anatengeneza video nyumbani kwake anapost
Asee watu mna dataKwani ana akili hata ya kuwa na nyumba basi?
Anaishi Bahari Beach kwenye nyumba ya dada yake ambaye ameolewa na mzungu Mdenish ndo anakotengenezea video.
Hela za tume alununulia BMW zingine kala na wanawake ndo basi tena
Hahahaa....aseee umenifikirisha mkuu...."yeye na dada..."Labda yeye na dada
Asee watu mna data
Inazima kwa sababu ya ufisadi Wa chademaMini kiki kijamaa kikirokeza kwenye tv yangu ,tv inajizima yenyewe sijuikwanini .nadhani hata tv inajua kuwa bored