That's not the case Physics is a must.Kwa nini hapana wakati TCU wanaonesha kuwa na principle mbili anachaguliwa? just imagine mtu ana B ya biology na A ya chemistry anakosaje? au kuna ulazima wa kusoma physics?
Competition ilikutema mkuu, ila huyu dogo MD atasoma vzr sana sifa afaulu tyuuuOnly pcb anaweza kuwa dokta.. Binafsi nilipata principle mbiili nzur kabisa za biology na chemistry ila physcs nilipata S wakanikazia
Hawezi, labda kama siku hizi wameruhusu.CBG je hasomi udaktari??
Inawezekana kuna ukweli katika hilo, lakini yeye siye aliyeweka utaratibu, na hapa si maoni yanakusanywa. Kinachoongelewa ni utaratibu unaotumika. Na kama hakuna mabadiliko, bila Physics haudahiliwi MD...mimi mwenyewe ilinipita kushoto hiyo (zamani kidogo lakini)Huna uhakika mkuu, physics ya A-Level haina application ktk Medicine. Hata matumizi ya vifaa au machines na maintainance zake mwanafunzi anajifunza ktk course husika.
handling of hospital treatment equipments you need at lest to have some idea of physicsHv physics ina application gani kwenye udaktari
Ni bora tusubiri kitabu kipya cha tcu na si vinginevyoHaupati kwan kwa mwendo wa serikali hii tegemea changes kubwa sana kwenye idara ya Elimu, bila kusoma PHYSICS NA CHEMISTRY O LEVEL usitegemee kusoma na kwenda udakitar na kwa A level vile bila PCB hutauona udakitar mkuu
Hii ni muhas tu mkuu. Pitia na vyuo vingine mkuu
Shukuru BRN na uchaguzi mkuuWatu mnapenda kukuza sana mambo, watu mnabishia uzoefu. Kwani guide book ya tcu hamzisomi? Na kama hamzisomi acheni kua mnabisha. IMTU, KAIRUKI, ST FRANCIS, AJUCO NA HATA BUGANDO mwaka jana wamechaguliwa na mimi ni miongoni mwao. Nilichaguliwa imtu-CBG
Idiot? Physics is a mustKwa nini hapana wakati TCU wanaonesha kuwa na principle mbili anachaguliwa? just imagine mtu ana B ya biology na A ya chemistry anakosaje? au kuna ulazima wa kusoma physics?
Acha uongo wa kijijini weweHuna uhakika mkuu, physics ya A-Level haina application ktk Medicine. Hata matumizi ya vifaa au machines na maintainance zake mwanafunzi anajifunza ktk course husika.