Hivi Mwanafunzi aliyefaulu vizuri combination ya CBN anaweza kusomea Udaktari?

Ni ngumu kaka,Mimi Mwenyewe nilitaka nisome optometry wakanibania eti kisa physics nimepata d,wakati chemistry Nina b na biorogy nilipata c,sasa hivi ninasoma nursing kozi ambayo nilikuwa sitaki hata kuisikia masikioni mwangu,ninajipa moyo tu hii nchi ina mambo ya hovyo,wacha nimalize hii kozi nikaombe uraia hata Uganda,Tanzania wanabaniana sana tena
Hasa hivi vyuo vya afya vya serkali

Mkuu optometry physics inahusika sana so usilaumu vitu vingine pasipo kujua. Kama una ndoto ni heri kujipanga kwa kusoma kombi husika. Pole sana nadhani hukuchaguliwa kwa sababu ya competition ukizingatia kozi hiyo inatolewa kcmc tu na wanahitaji watu wachache so usilalamike.
 
Labda kama wameanza kuruhusu this time. Lakini miaka kibao sasa ni PCB tu ndiye anayeweza kusoma MD.

Nina uhakika kwa public universities kama MUHAS,UDOM,UD bila PCB huwezi. Sina uhakika na akina KIU,St. JOSEPH na wengineo
 
Ni ngumu kaka,Mimi Mwenyewe nilitaka nisome optometry wakanibania eti kisa physics nimepata d,wakati chemistry Nina b na biorogy nilipata c,sasa hivi ninasoma nursing kozi ambayo nilikuwa sitaki hata kuisikia masikioni mwangu,ninajipa moyo tu hii nchi ina mambo ya hovyo,wacha nimalize hii kozi nikaombe uraia hata Uganda,Tanzania wanabaniana sana tena
Hasa hivi vyuo vya afya vya serkali
usilalamike dogo vigezo unavyo sema tatizo ni competition wapo waliofaulu vizuri zaidi ya hizo alama zako hata ungeomba diploma in clinical office ungekosa labda certficate.
shukuru mungu umepata nursing vinginevyo na hiyo ungekosa
 
Ni ngumu kaka,Mimi Mwenyewe nilitaka nisome optometry wakanibania eti kisa physics nimepata d,wakati chemistry Nina b na biorogy nilipata c,sasa hivi ninasoma nursing kozi ambayo nilikuwa sitaki hata kuisikia masikioni mwangu,ninajipa moyo tu hii nchi ina mambo ya hovyo,wacha nimalize hii kozi nikaombe uraia hata Uganda,Tanzania wanabaniana sana tena
Hasa hivi vyuo vya afya vya serkali
Wengine wanaililia
 
Duh upo chuo gani bro?
 
Back
Top Bottom