Kocho
Senior Member
- Jun 5, 2013
- 120
- 21
Ningeomba kwa anaejua sababu za mwalimu Nyerere kukataa hoja ya uwepo wa taifa la Tanganyika wakati yeye ndio muasisi na alikuwa mstari wa mbele kupigania uhuru wa taifa hili, na tumeshuhudia nchi nyingi duniani zikijisifia uwepo wa nchi zao na nyengine hata kupigana vita kwa heshima ya kulinda uhuru na mipaka yao mfano mzuri ni ka wa zanzibari wamekuwa mstari wa mbele kudai visiwa vyao na uhuru wao, je Mwalimu haoni hii ni hatari kwa kufuta historia yake mwenyewe hii inaonyesha wazi mwalimu alivo mbinafsi kwa kuzuia haki watanganyika na Tanganyikayao. nawakilisha