Hivi Mwalimu Nyerere ana tatizo gani na Tanganyika?

Kocho

Senior Member
Jun 5, 2013
120
21
Ningeomba kwa anaejua sababu za mwalimu Nyerere kukataa hoja ya uwepo wa taifa la Tanganyika wakati yeye ndio muasisi na alikuwa mstari wa mbele kupigania uhuru wa taifa hili, na tumeshuhudia nchi nyingi duniani zikijisifia uwepo wa nchi zao na nyengine hata kupigana vita kwa heshima ya kulinda uhuru na mipaka yao mfano mzuri ni ka wa zanzibari wamekuwa mstari wa mbele kudai visiwa vyao na uhuru wao, je Mwalimu haoni hii ni hatari kwa kufuta historia yake mwenyewe hii inaonyesha wazi mwalimu alivo mbinafsi kwa kuzuia haki watanganyika na Tanganyikayao. nawakilisha
 
Nyerere baba alijua ataishi milele, na alijua iko siku znz ataifuta kabisa na chi nyengine za jirani na yeye ndio atakua kiongozi.
 
Ningeomba kwa anaejua sababu za mwalimu Nyerere kukataa hoja ya uwepo wa taifa la Tanganyika wakati yeye ndio muasisi na alikuwa mstari wa mbele kupigania uhuru wa taifa hili, na tumeshuhudia nchi nyingi duniani zikijisifia uwepo wa nchi zao na nyengine hata kupigana vita kwa heshima ya kulinda uhuru na mipaka yao mfano mzuri ni ka wa zanzibari wamekuwa mstari wa mbele kudai visiwa vyao na uhuru wao, je Mwalimu haoni hii ni hatari kwa kufuta historia yake mwenyewe hii inaonyesha wazi mwalimu alivo mbinafsi kwa kuzuia haki watanganyika na Tanganyikayao. nawakilisha

Hayo maneno kwenye bold ukiyaungaunga utapata jawabu lako!
 
Kipindi kile watanganyika wote walikuwa hawana uwezo wa kufikiri isipokuwa nyerere tu,zidumu fikra za mwenyekiti.
 
Mwalimu alikuwa Nyama ya Kikoloni basi ukamtamkia akawa na yeye pia Mkoloni mweusi ndio maana hajataka kusikia Tanganyika
 
Ningeomba kwa anaejua sababu za mwalimu Nyerere kukataa hoja ya uwepo wa taifa la Tanganyika wakati yeye ndio muasisi na alikuwa mstari wa mbele kupigania uhuru wa taifa hili, na tumeshuhudia nchi nyingi duniani zikijisifia uwepo wa nchi zao na nyengine hata kupigana vita kwa heshima ya kulinda uhuru na mipaka yao mfano mzuri ni ka wa zanzibari wamekuwa mstari wa mbele kudai visiwa vyao na uhuru wao, je Mwalimu haoni hii ni hatari kwa kufuta historia yake mwenyewe hii inaonyesha wazi mwalimu alivo mbinafsi kwa kuzuia haki watanganyika na Tanganyikayao. nawakilisha

Nyerere in an interview with James McKinley of The New York Times in Butiama:

"I felt that these little countries in Africa were really too small, they would not be viable - the Tanganyikas, the Rwandas, the Burundis, the Kenyas. My ambition in East Africa was really never to build a Tanganyika. I wanted an East African federation. So what did I succeed in doing? My success is building a nation out of this collection of tribes." - ("Tanzania's Nyerere Looks Back: Many Failures, and One Big Success - Bringing A Nation to Life," The New York Times, and the International Herald Tribune, 2 September 1996).

Nyerere, in an interview with Ikaweba Bunting, "The Heart of Africa: Interview with Julius Nyerere on Anti-Colonialism," New Internationalist Magazine, issue 309, January-February 1999:

Ikaweba Bunting:

After independence you pursued an African socialism while in Kenya Jomo Kenyatta embraced a more conservative nationalism. The two of you came to symbolize opposing visions of development. Were you conscious at the time of the need to chart a different course that might inspire other new African nations?

Nyerere:

Anti-colonialism was a nationalist movement. For me liberation and unity were the most important things. I have always said that I was African first and socialist second. I would rather see a free and united Africa before a fragmented socialist Africa....

Jomo Kenyatta was clearly capitalist and we were trying a different course. But I must confess I did not see myself as charting out something for the rest of Africa. One picks one's way. I never saw the contradictions that would prevent Kenya, Uganda and Tanzania from working together. I was naive, I guess. Even now for me freedom and unity are paramount.

I respected Jomo (Kenyatta) immensely. It has probably never happened before in history. Two heads of state, Milton Obote [Uganda's leader] and I, went to Jomo and said to him: `let's unite our countries and you be our head of state'. He said no. I think he said no because it would have put him out of his element as a Kikuyu Elder.

Ikaweba Bunting: Should African resistance movements have embraced Pan-Africanism more readily? Do you think we should be working now towards a federal United States of Africa?

Nyerere:

Kwame Nkrumah and I were committed to the idea of unity. African leaders and heads of state did not take Kwame seriously. However, I did. I did not believe in these small little nations. Still today I do not believe in them. I tell our people to look at the European Union, at these people who ruled us who are now uniting.

Kwame and I met in 1963 and discussed African Unity. We differed on how to achieve a United States of Africa. But we both agreed on a United States of Africa as necessary. Kwame went to Lincoln University, a black college in the US. He perceived things from the perspective of US history, where the 13 colonies that revolted against the British formed a union. That is what he thought the OAU should do.

I tried to get East Africa to unite before independence. When we failed in this I was wary about Kwame's continental approach. We corresponded profusely on this. Kwame said my idea of `regionalization' was only balkanization on a larger scale. Later African historians will have to study our correspondence on this issue of uniting Africa.
 
I respected Jomo (Kenyatta) immensely. It has probably never happened before in history. Two heads of state, Milton Obote [Uganda's leader] and I, went to Jomo and said to him: `let's unite our countries and you be our head of state'. He said no.
Kitu gani Obote na nyerere walichokuwa wakikifikiria?!

nyerere anamaanisha kama Kenyatta angekubali ndio ingekuwa hivyo walivyotaka, yaani watu watatu wajifungie chumbani wafikie uamuzi utakaowaathiri mamilioni ya watu bila ya kuwashirikisha! Ndiyo hayahaya yanayoukuta Muungano wa Tanzania kwa sasa baada ya waasisi wake kufa bali Muungano huo wa Kenya,Tanganyika na Uganda ungekuja kuleta mzozo mkubwa zaidi.

...kwa hili Kenyatta anaonyesha kuwa alikuwa ni bora kati ya wote watatu.
Shwari said:
I tell our people to look at the European Union, at these people who ruled us who are now uniting.
Sijui European Union gani aliyoikusudia yeye maana EU niijuayo mimi haiko katika muundo huu wa Muungano wa TANZANIA BARA na Zanzibar.

Kama ni hii EU niijuayo mimi basi tayari waafrika wanayo OAU sijui AU ambapo yakifanyika marekebisho kadhaa itafikia usawa wa EU.
 
Back
Top Bottom