Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

Kivipi? Toka lini kusema ukweli kukawa dhambi, au mwenzetu hujasoma historia ya dunia na kwa nini myahudi na mwarab hawawezi kusuluhishwa, kamwe? Mbona kwenye vitabu hii kitu imeandikwa?
Nnacho sema mimi ni kwamba dhambi hairithiwi labda itokee special case kama ya wayahudi kulaaniwa kabila lote..mama alieua mumewe akizaa mtoto usifikiri hiyo dhambi atarithi na mtoto akizaliwa..kila mbuzi atakula urefu wa kambayake mbele za hakki.
 
mkuu zamani palikuwa na ndoa kweli au ilikuwa ukimjua mwanamke ndo mkeo,

yakobo mwenyewe kazaa na mahousegal,nusu ya watoto wake 12 ni wa mahousegal,
mbona wao hawajalaaniwa?,

kitu walichojichanganya waandishi ni kudhani jina israel ni laa upekee sana,
el alikuwa ni mungu anaeabudiwa caanan kabla hata Abraham hajahamia caanan kutoka ur.

Maana ya ishmaEl ni Mungu kasikia.

Hilo tu linatosha kukuonyesha kuwa kabla haya yakobo hajazaliwa,watu waliabudu mungu,na huyo mungu akitajwa kama El.

Sasa hapa jaribu kuconnect dot,

babake na mtume wakati anazaliwa akaitwa jina AbdAllah,

maana ya abdallah ni mtumishi wa mungu

so kumbe babu zake na mtume waliabudu mungu wakimwita Allah,kabla hata mtume hajazaliwa na ndo maana mtoto wao wakamwita AbdAllah.

Kwahiyo hapa ni wazi kuwa El aliabudiwa na kina mzee abraham kabla hata hajamzaa isaka na kabla yakobo hajazaliwa,


na kumbe babu zake mtume wa waislamu walikuwa wanaabudu mungu Allah kabla hata mtume hajazaliwa,

kumbuka matamshi El na Allah ni almost the same.

Swali la muhimu hapa,Yahwew alitokea wapi?,na kwa nini aliibuka tu from nowhere na kujitambulisha kuwa ni mungu wa israel
 


Umeongea point....binafsi najiuliza....sisi waafrika tuna akili gani? Tuliamrishwa na waarab na wazungu kuabudu na kutukuza imani zao na tukasahau imani zetu. Hapa Afrika, kila kabila lilikuwa na desturi yake ya kuomba Mungu kama walivyokuwa waarab kabla ya mtume wao na wakristu hivyo hivyo....Israel inasemwa kwa walioandika biblia kuwa ni taifa la Mungu na wayahudi ni wana wa Mungu, kwa hiyo sie waafrika ni wana wa nani, na kwa nini tuabudu vitu visivyo vyetu kufanya kuwa vyetu? Utumwa wa dini umetufanya waafrika kulaanika kwani mizimu yetu tuliyokuwa tunaiabudu imetukasirikia. Waarab na wazungu kwa kukuza dini zao wakatudanganya kuwa tusiabudu miungu wengine, mbona wao walikuwa wanaabudu Mungu wao? Sie kosa letu lipi hapa? Waafrika tuamke na kuzikataa hizi dini za utumwa, they are NOT for us. Bibilia yote ukisoma, everything is about wayahudi na matabaka yao, hakuna sehemu hata moja iliyoandikwa ama kutajwa tu jina la mtanzania kama mie "Mkereketwa_Huyu." Quran hivyo hivyo, kila kitu kimeandikwa kwa ajili ya kutukuza waarab, waafrika wachache waliotajwa ni watumwa tu. Time has come to abolish hizi dini, tumedanganywa far too long, yet bado hatujitambui na hatutaki tu kuambiwa ukweli.
 
Kwa mawazo yangu nilifkiri waarabu na waisraeli wote ni RACE moja yaani SEMITES hawa inajumuisha watu wengi wa mashariki ya kati mpaka Uturuki ugiriki na asia ya magharibi

Hivyo kwa maoni yangu musa ni muarabu hata waisraeli ni waarabu tu maana wote wametokana na SHEM mtoto wa Nuhu.....
 
Musa ni mwafrika kwa sheria za kuzaliwa alizaliwa Afrika
 
Alikuwa muebrania
 
Kwa maelezo yako ata mimi ni mzungu maana mie pia nimetoka kwa Adam na hawa
Basi mimi ni mzungu
 
Kwa maelezo yako ata mimi ni mzungu maana mie pia nimetoka kwa Adam na hawa
Basi mimi ni mzungu
Tunaposema RACE ziko tatu tu mkuu CAUCASIANS, MONGOLOIDS NA NEGROIDS

Weupe wote wanaangakuia caucasians
Wekundu wote yaani wa asia na amerika ni mongoloids
Alafu watu weusi wote duniani ni Negroids

N hizi race zimeanzia kwa uzao wa Nuhu ambapo japhet ndio aliishi ulaya soma mwanzo 10 na ham ambaye negroid aliishia afrika pia Shem alibakia mashariki ya kati na asia

Hivyo kwa msingi huo wa biblia na kisayansi tunaona Waisraeli walizaliwa kupitia SHEM ambayo ni race ya SEMITE hawa ni waarabu kabisa hivyo musa ni muarabu kwa muonekano na hata waisraeli ni ''WAARABU'' sio Wazungu Yaani ARYANS
 
Unapokosea ni kuita waisraeli waarabu, af na kuendelea kutetea
Kama ni hvyo na mi ni muzungu
Maana hakuna uhusiano wao na waarabu
Kama ni hvyo basi mzungu ni mwarabu maana wote ni Caucasians
 
Unapokosea ni kuita waisraeli waarabu, af na kuendelea kutetea
Kama ni hvyo na mi ni muzungu
Maana hakuna uhusiano wao na waarabu
Kama ni hvyo basi mzungu ni mwarabu maana wote ni Caucasians
Mkuu soma biblia vizuri Mwanzo 10 utaona SHEM alimzaa Arphaxad naye akamzaa Abraham then akamzaa isaka naye akamzaa yakobo ambapo ndipo taifa la israeli lilianza sasa ukisoma mwanzo kumi utaona watoto wote wa Japhet walikimbilia ulaya (WAZUNGU ama ARYANS) ..... Alafu watoto wengi wa SHEM walibakia mashariki ya kati kma syria Persia na mesopotamia

Hivyo basi kwa ushahidi wa kibiblia tu waisraeli na waarabu ni RACE moja inaitwa SEMITES ambayo ipo kwenye category ya CAUCASOIDS ila tofauti ni kwamba wazungu wanaitwa ARYANS (japhet) ila waisraeli na waarabu ni SEMITES(uzao wa shemu) yaani turkey na mashariki ya kati mpaka india huko.... Hivyo usikariri kwamba israeli ni wazungu hapana ni SEMITES ambao kwa lugha rahisi ni WAARABU yaani muangalie mesut ozil ama Drake ndio utaelewa nachosema
 
Unapokosea ni kuita waisraeli waarabu, af na kuendelea kutetea
Kama ni hvyo na mi ni muzungu
Maana hakuna uhusiano wao na waarabu
Kama ni hvyo basi mzungu ni mwarabu maana wote ni Caucasians
Labda nikuskilize pia naweza jifunza kitu..... Unaweza prove kwamba waisrael sio familia moja na waarabu..... Hivi unafahamu Abraham alikuwa muarab pure kabisa !!!

Na kama hawana uhusiano kati ya waarab na waisraeli je reference yako ni ipi
 
 
acha kupotosha.waarabu walikuwepo hata kabla ya ismaeli kuzaliwa.mama yake hagar alikuwa wa kutoka misri,baada ya kufukuzwa ndipo akarudi kwao na ismael akakulia kwa wajomba zake.na si kweli kuwa kizazi cha ismael kililaaniwa.kumbuka mungu alimwambia mama yake ismael kuwa atambariki mtoto wake na kufanya kizazi chake kuwa taifa kubwa.kitu kingine hapa cha kuangalia ni kuwa baba yake ismail alikuwa muisrael,sasa itakuweje ismael awe muarabu tena?
 
Wewe mgonjwa sana, uislam haukuwepo kabla ya kwenye 620 AD
 
Muislaam wa kwanza ni Nabii Adam, na wa pili ni Mkewe Hawa.
Ni kwa mujibu wa Qur'an na si kwa maoni yako na mafundisho ya sunday school. KweliKwanza
Huyo Nabii Adam alifunga ramadhan?je alienda maka kuhiji?hebu nielezee alisali kibla kwa kuangalia wapi, je sala tano aliswali .....Swali jingine km Uislam ulikuwepo iweje manabii wengi watoke kwa watu ambao hawaujui uislam yaan waisraeli .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…