uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,406
- 3,594
Ujumbe uwafikie wenye tabia hizo.wanatesa sana wengineMbona thread yako imejaa malalamiko yasiyo na ushahidi, kama hauna kielelezo chochote, hebu tupe basi hata mkasa wowote, ili ueleweke mkuu..!
Yashamkuta huyo......tayari
Hivi mtu unapata faida gani kumchongea mwingine kazini kufukuzwa ili upate cheo chake?haya mambo sidhani kama wazungu wanayo.ndo maana hatuendelei .chuki na ubinafsi kila mahali.hali ilivyo ngumu saivi bado mtu anakufanyia fitna ili ufukuzwe kazi.na walaaniwe wote wenye tabia hizo
Pole maisha bila kazi yanawezekana piaHivi mtu unapata faida gani kumchongea mwingine kazini kufukuzwa ili upate cheo chake?haya mambo sidhani kama wazungu wanayo.ndo maana hatuendelei .chuki na ubinafsi kila mahali.hali ilivyo ngumu saivi bado mtu anakufanyia fitna ili ufukuzwe kazi.na walaaniwe wote wenye tabia hizo