Ukisomea Taaluma Fulani kisha ukawa hauifanyii kazi kwa Kipindi kirefu lazima utasahau baadhi ya vitu, Lipumba mda mwingi huwa yupo busy na siasa za maji taka na Madili ya siasa hana mda wa kufanyia kazi anachodai alikisomea, hata ukipima ushauri wake Kipindi cha Utawala wa mwinyi hakuna alichomshauri cha maana zaidi ya kuporomoka kwa Thamani ya shilingi dhidi ya dola kwa kiwango kikubwa zaidi, uprofesa wa Lipumba una utata Nadhani Taaluma yake itakuwa ni zile za kuunga unga, usomaji wa kijanja janja wa kuiba mitihani na kununua majawabu na kumiliki vyeti, lakini hujitahidi kusoma English kwa bidii ili wafiche mapungufu yao baada ya kugundua kuwa Watanzania wengi huamini kuwa mtu anayeongea Kingereza ni Msomi hawajui kuwa wazaliwa wa London wote wanajua Kingereza japo wapo ambao hawakwenda shule kabsa, China, German, Spain,Italy nk kuna Wasomi na maprofesa wengi ambao wamesoma kwa lugha zao na hawajui Kingereza kabsa na maisha yanaendelea kama kawaida, Lipumba kwa sasa ni shiiiiiiiida inapaswa aambiwe Ukweli live aache Dili za siasa na madalali wa siasa Kama anataka Siasa aanzishe chama chake kama Zito Kabwe.