Hivi mradi wa mabasi yaendayo kasi Bongo umefikia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mradi wa mabasi yaendayo kasi Bongo umefikia wapi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by The Son of Man, Mar 7, 2010.

 1. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,418
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Habari za leo wanajamvi? Nilikuwa natoka town traffic ikawa kali sana kwa "jam" ndo nkakumbuka huko nyumbani Bongo. Kuna mradi wa mabasi yaendayo kasi na makubwa ambayo serikali ilikuwa na mpango wa kuyaanzisha hasa Dar kwenye high ways kama Nyerere road, Mandera na Ali Hassan Mwinyi na kufanya vipanya vifanye kazi kwenye feeder roads kama Shekilango, Yombo na nyingine nyingi bongo, naomba nielezwe huo mradi umefikia wapi au ulishaanza? Pia kuna wakati Mh. Pombe Magufuri akiwa waziri wa Ujenzi walianzisha mchakato wa kujenga daraja la kuunganisha City center na Kigamboni na kuna wakati tuliambiwa kuwa NSSF ndo walipewa kazi ya mchanganuo. Sasa jamani wanajamvi, hii mipango imefikia wapi? Ni hayo tu ila kuna mwanasocioligia mmoja alisema "the more we know the stupider we become untill we reach the point of knowing everything about nothing"
   
 2. T

  Tall JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Unjuaje,labda mchonga dili hayuko tena madarakani.
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,418
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Mi nilidhani ilikuwa ni sera ya serikali ambayo ilipaswa kutekelezeka!
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,418
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Mi nilidhani ilikuwa ni sera ya serikali ambayo ilipaswa kutekelezeka!
   
 5. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #5
  Mar 7, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ipo kwenye makaratasi tu as usual.
   
 6. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mpaka EL na wenzake watakaporuhusiwa kuwa wamiliki wa huo mradi. Bila ya hivyo dala dala zao zitaendelea kutawala?
   
 7. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,848
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Kaka Nchi hii wizi mtupu! Huwezi amini Tz tuna Rais, Mawaziri Mayor wa jiji! Ni mwaka sasa tunasubiri gari la kwanza lionekane barabarani! Where is it? I guess is not coming! Halafu wakuu wa nchi wamenyamaza tu, What!!!? Was that a joke? I cant believe kundi la watu wanaweza kukwamisha mipango ya serikali kwa manufaa yao binafsi!
  Bora uishi na mchawi kuliko fisadi, they have jammed our country's pregress, they have robbed us over and over and over............... and they will not stop UNTIL EVERY TANZANIAN SAY ENOUGH IS ENOUGH
   
 8. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  nijuavyo mimi, mradi huu umeishaanza na kwa sasa uko katika hatua ya ujenzi wa miundombinu yaani barabara zitakazopitia hayo mabasi yaendayo kasi. tatizo nilionalo ni uelewa mdogo wa marade mzima. wengi wanaamini mradi utaanza pale mabasi yatakapoonekana barabarani.........

  kuna uwezekano pia kuwa kubadilisha serkali mwaka 2005 kulichangia kupunguza kasi yake kwani wenye maamuzi wakubwa tza walibadilishwa na matokeo ya uchaguzi ikiwema kubadilisha meya na watendaji wengine.
   
 9. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,848
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Akili Kichwani sikiliza ndugu yangu walisema gari la kwanza litaoneka August barabarani August 2009. That is what they said, Kama kuna mabadiliko yeyote waliwahi tangaza hilo hatujawahi sikia, So dont defend them, They simply wale wale, They cant live to their promise!!! Have you ever seen a serious rehab ya miundombinu zaidi ya ile madela road ambayo ilikuwa imechakaa kwa hiyo walikuwa hawana budi kuikarabati? Hakuna watu wanakula bata tu vifyonzeo!!!
   
 10. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ni vigumu kuwa na njia ya farasi ilhal njia ya ng'ombe imekushinda kuanzisha!
   
 11. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #11
  Mar 8, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  kuna upungufu mkubwa wa uelewa wa miradi kama ii. miradi hii huwa inahusisha wadau wengi wakiwemo sekta binafsi na mashirika ya imataifa na mara nyingi fedha za mradi hutolewa na mashirika wakopeshaji wa kimataifa............ sasa hpo kuna logistics nyingi, ukibadili secretariate ya mradi unaweza hata kuathiri imani ya mopeshaji na kujikuta akiongeza jicho kwenye mradi wakati aliotarajia kutoa fedha............. ndio maana nikasema mabadiliko ya serikali huenda yalichangia....... lakini si haki kulaumu serikali peke yake bila kutazama nafasi a wadau wengine........

  nimesikia kuwa sasa dar wanajenga barabara za zege, kama ni kweli huenda ni sehemu ya miundombinu ya mradi huu, kwani mabasi haya technically hayawezi kupita kwenye barabara za lami................
   
 12. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,195
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Waziri w. Ngeleja nimemnukulu akisema road iliyo kati ya ubungo mataa na mwenge (sam nujoma rd), katikati imewekwa pana kwa ajili ya magar yaendayo kwa kasi.

  Lile sakata la kakobe kupitishiwa umeme karib na kanisa lake, kakobe alishaur nyaya zipitishwe katikat ya bara bara, mheshmiwa Ngeleja akamjibu katikat ya barabara zitapitishwa nyaya kwa ajili ya magar hayo hayo yatimuayo kwa spidi.

  Hivyo huenda ikawa mambo yanafanyika but kwa pace ya kobe!
   
 13. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,195
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu umesahau kingine...
  Mambo yetu ya kutengeneza mvua artificial...
  Nakumbuka Lowasa ndo ilikua task yake hii.
   
 14. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 135
  Nakuhakikishia ukijakusoma thread hii miaka mitano ijayo, the story will be the same. Hakuna chochote kitakachoendelea, tatizo la usafiri Dar haliwezi kutatuliwa kwa siku chache, au kwa Lowassa style ya kutumia barabara tofauti na malengo ya zilivyosanaifiwa, kama barabara ya Ubungo mwenge ilijengwa kwa sababu hiyow..well and good.. kama haikuuengwa kwa sababu hiyo then it is another fooling tricky.
  Tukiwa serious tatizo la congestion Dar ni mwaka mmoja tu au miezi sita at least. So forget it ndugu, tatizo apperats to be there to stay.
   
 15. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,195
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ila maneno yako yana ukweli ndan yake.

  Mambo ye2 hapa bongo yanafanywa kisiasa zaidi.

  Juz juz raisi we2 alkua jukwaan ktk wilaya moja ya Dar na kusema zijengwe fly overs.

  Yaani sijui hayo maneno alidhamiria kuyasema au ilkua by-th-way?

  Unatamka kitu kizur namna iyo then iweje. Imefika mahala sasa utekelezaji unatakiwa.

  Tatizo la watanzania tulio wengi tunapenda maneno mazur masikioni mwe2. Tunaridhka mapema mno yaan na ahadi na suala la utekelezaji kwa vitendo hayo ni majaaliwa. Aargh, it sucks!
   
 16. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2010
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 369
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY
  SECOND CENTRAL TRANSPORT CORRIDOR PROJECT (CTCP 2)
  IDA CREDIT NO. 4455-TZ

  Invitation for Bids

  CONSTRUCTION OF DAR ES SALAAM BUS RAPID TRANSIT
  (BRT) INFRASTRUCTURE – PHASE 1

  PACKAGE 1:ROAD WORKS
  LOT 1: MOROGORO ROAD (KIMARA – MAGOMENI)
  LOT 2: MOROGORO ROAD (MAGOMENI – KIVUKONI), KAWAWA ROAD (MAGOMENI – MOROCCO) AND MSIMBAZI ROAD (FIRE - KARIAKOO)

  Tender No. AE/001/2009/10/HQ/W/35

  1. This invitation for bids follows the general procurement notice for this project that appeared in United Nations Development Business Online No. 709 of 31st August 2007 and the dgMarket.

  2. The Government of the United Republic of Tanzania has received credit from the International Development Association (IDA) towards the cost of Second Central Transport Corridor Project (CTCP 2). It is intended that part of the proceeds of this credit will be applied to eligible payments under the contracts for Construction of Dar es Salaam Bus Rapid Transit (BRT) Infrastructure - Phase 1.

  3. The Tanzania National Roads Agency (TANROADS) who is the Implementing Agency now invites sealed bids from eligible bidders for Construction of Dar es Salaam Bus Rapid Transit (BRT) Infrastructure – Package 1, which consist of two lots as described below:

  Lot 1: Construction of about 10.9 km bituminous finished road comprising of Asphalt Concrete for mixed traffic lanes and Cement Concrete exclusive bus ways; construction of 15 trunk stations, 2 new bus terminals and 2 pedestrian bridges; and relocation of services for water supply and telecommunications ("the Works"); and
  Lot 2: Construction of about 10.5 km bituminous finished road and cement concrete pavement at stations; construction of 14 bus stations buildings, 1 bus terminal, 1 feeder station and 1 pedestrian bridge; and relocation of services for water supply and telecommunications ("the Works").
  The Works for both lots shall be executed concurrently and construction period for each lot shall be twenty four (24) months including mobilization period.

  4. Bidders may bid for one or both lots of Package 1 as further defined in the bidding documents. Bidders wishing to offer discounts in case they are awarded both contracts will be allowed to do so.

  5. Bidding will be conducted through International Competitive Bidding (ICB) procedures specified in the World Bank's Guidelines: Procurement under IDA Credits, May 2004, Revised October 2006 and are open to bidders from all countries as defined in guidelines. Domestic bidders shall not be eligible for margin of preference.

  6. Bidders will be post-qualified for the above contracts based on the following key qualification criteria:-
  Qualification Criteria Lot 1 Lot 2 Lot 1 and Lot 2
  (i) Annual Turnover:
  Minimum average annual construction turnover calculated as total certified payments received for contracts in progress or completed within the last five (5) years US$ 45m US$ 50m US$ 80m
  (ii) Financial Resources:
  Minimum cash flow that the bidder must demonstrate to access or its availability US$ 5m US$ 6m US$ 10m
  (iii) General Experience:
  Minimum period of involvement in the role of contractor, subcontractor, or management contractor in each of the last five (5) years prior to the bid submission deadline 9 months 9 months 9 months
  (iv) Specific Experience:
  Minimum value of each of at least two contracts of similar to the proposed Works that have been successfully and substantially completed by the bidder as the contractor, management contractor, or subcontractor, within the last five (5) years US$ 45m US$ 50m US$ 80m


  7. Interested eligible bidders may obtain further information and inspect the bidding documents at the TANROADS HEADQUARTERS at the following address:-

  The Chief Executive
  Tanzania National Roads Agency (TANROADS)
  Bibi Titi Mohamed Road
  Maktaba Complex, 3rd Floor
  P. O. Box 11364
  Dar es Salaam Tanzania

  Telephone: +25522 2152576/ 2150932/ 2151639/ 2152140/ 2152242/ 2152186
  Facsimile number: +255 22 2150022/2152032.

  from 8:00 to 16:00 hours local time at the office of The Secretary, TANROADS Headquarters Tender Board.

  8. A complete set of bidding documents in English for each lot, may be purchased by interested bidders on the submission of a written application to the address above and upon payment of nonrefundable fee of Tanzania Shillings 150,000.00 (One hundred Fifty thousand Only) or its equivalent in freely convertible currency, payable by Banker's Cheque, Banker's Draft or cash to the Chief Executive, TANROADS, P. O. Box 11364, Dar es Salaam Tanzania.

  9. Sealed Bids must be delivered to The Secretary, TANROADS Headquarters Tender Board, 3rd Floor, Maktaba Complex, Room 3, Bibi Titi Mohamed Road, Dar es Salaam, Tanzania on or before 10:00 hours local time on …………………..(insert date). All bids must be accompanied by a bid security in original and in acceptable form in the amount of TZS 1,000,000,000.00 (Tanzania Shillings One Billion) or its equivalent in a freely convertible currency for each lot. Electronic bidding shall not be permitted.

  10. Bids will be opened in the presence of bidders' representatives and anyone who choose to attend at TANROADS Headquarters, Maktaba Complex, Bibi Titi Mohamed Road, 3rd Floor, Room No. 3, Dar es Salaam, Tanzania, immediately after the deadline for submission of tender. Late bids will be rejected.

  The Secretary
  TANROADS Headquarters Tender Board
  3rd Floor, Maktaba Complex, Room No. 3
  Bibi Titi Mohamed Road
  Dar es Salaam Tanzania
   
 17. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani mradi wa mabasi yaendayo kwa kasi? ni hawa madereva wetu au wata odder na drivers from abroad?
   
 18. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2010
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,195
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Muhahahahahaha...
  Hawa hawa mom! Wanauzoefu wa kutosha, huoni ajali kila kukicha sababu mwendo kasi mkubwa.

  Sasa haya magar yakija watapewa hawahawa.
   
 19. Z

  Zamazamani JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2010
  Joined: Jun 13, 2008
  Messages: 1,641
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  kalaghabaho!!
   
 20. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2010
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,258
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Hii ilikuwa 'RICHIMONDI' nyingine.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...