Hivi msanii Diamond anaweza kuwa na 1 million USD?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Nauliuza , kwa kuwa huyu jamaa namsikia sana kwamba ana mkwanja si kitoto, hivi anaweza kufikisha 1million USD? Binafsi siamini kama anafikisha huo mkwanja lkn who knows?
 
Nauliuza , kwa kuwa huyu jamaa namsikia sana kwamba ana mkwanja si kitoto, hivi anaweza kufikisha 1million USD? Binafsi siamini kama anafikisha huo mkwanja lkn who knows?
Mkuu kama hutojali wewe ni jinsia gani?
Maana sidhani kama kuna mwanaume ambae atakaa na kuanza kufikiria na kumpigia makadirio pesa anazo miliki mwanaume mwenzake
 
Piga tuu minimum ya 50mil per show, kwa mwaka anapiga show zaidi ya 20 achana na endorsement na biashara zake nyingine
 
Kwa hiyo wanaondika na kusoma forbes magazine wote ni Wanawake?
jamaa kazingua jinsi alivyo kujibu msamehe bure mkuu, lakini kama unaijua hiyo forbes ungeifatilia habari za mkwanja wake utazipata uko but sorry kama nitakua nimekujibu vibaya
 
Nauliuza , kwa kuwa huyu jamaa namsikia sana kwamba ana mkwanja si kitoto, hivi anaweza kufikisha 1million USD? Binafsi siamini kama anafikisha huo mkwanja lkn who knows?
Ila hawezi kumfikia aliyepiga trilion 1.5 kwa show ya usiku mmoja leaders club. Mzee wa font fed ni bonge la msanii. Mondi ni cha mtoto
Kwa mzee wa trilion 1.5 Mond akalale
 
Diamond karanga kwa mwezi inampa Milion 100+ voda kwa mwaka milion 700-ringtone za simu kwa mwezi ni zaidi ya 100milion njoo show na wasafi rekod cocacola chil source chibu perfume kuna mvinyo ule wanaoutangaza yeye na Rick Ross. Sijamaliza lakinj zidisha mara mbili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom