Hivi mnawaelewa halotel

Shida niliyopata kwenye hiyo mitandao mingine niliamua kusimika mizizi halotel kimoja labda wang'oe mitambo yao warudi VIETNAM
 
Nililalamika weeee! Nikaona hawanisikii bado ikabidi nirudi Vodacom
Ndio story ya halotel ilipo ishia
 
Vodacom bila kuwa na gharama kubwa kidogo ni mtandao bora kwa bongo!!!!
I stand to be corrected
 
Mimi nilikua nimmoja wa wapigachepuo wao lakini kwasasa wanakera sana ile speed waliyo kuwanayo haipo tena hauwezi kuangalia tena move online kiujumla nawenyewe wamekua wezi wanatuuzia bandle ambazo mwisho wasiku hatuwezi kuzitumia kama vp nawenyewe wang'oe minara yao kama zantel wasepe
 
Hivi mnaizungumzia Halotel gani?

Kama ni hii hii ninayotumia mimi basi tatizo ni visimu vyenu mnavyotumia.

Hapa nilipo kwasasa inasoma 2G ila nimesha pakua Video 12 zenye ukubwa wa kuanzia 10mb kwa dakika tano. Ila wangekuwa wale wengine ndio kwanza ingegoma hata ku-Loading.
 
Back
Top Bottom