Hivi mnawaelewa halotel

Hivi mnawaelewa halotel

Samahani wakuu Halotel ni wasaidizi Wa mkuu Wa mkoa Wa Daslamu au Kuna mtaa huko mjini Daslamu unaitwa Halotel..!???
 
Niliangalia sana epl kwa halotel lakini sasa hivi siwezi tena, hamna tofauti sana na ile mitandao mingine, nimerudi airtel yangu
 
Back
Top Bottom