Hamia TTCL km upo daslamaNililalamika weeee! Nikaona hawanisikii bado ikabidi nirudi Vodacom
Ndio story ya halotel ilipo ishia
voda wako vzur sanaHahaaaHamia TTCL km upo daslamavoda wako vzur sana
TTCL nao wanakera. Mpaka uwe na simu ina support 4G otherwise haisomiHahaaa
TTCL nina mpango nao ntawachek tu nao
AaahTTCL nao wanakera. Mpaka uwe na simu ina support 4G otherwise haisomi
SureRaha ya Halotel uwe mikoani, kama ni wa Dar hiyo line tupa kule..
Ahahaaaa achana nao kabisa usiwaguse. Tumia tu iyo vodaAaah
Simu yangu ikianza 2 G ina stuck, ikifika 3G inazima kabsa
Ina handle 1G tuu
Hahahaa
Hao hawanifai
market penetration technique hata muda wa mapenzi unaingia taratiiiibuuuuu then ndio unaanza mbwembwe zako.kua mpole tu mkuu au rudi kwa wale waleWakati halotel inaanzaa,internet yao ilikuwa na speed kama kimondo,ila tangu user wawe wengi,naonaa kichwa kimekuwa kikubwaa,yaani speed kama jongoo,sasa ni ushamba au nini!???