nguvu ya mamba iko mumayi,we subiri atakapokuwa kuwa nje ya ndoa ndo atajua........Pole, hebu shusha munkari manake wife kakupatia kweli kweli. Nyumba ni yetu na utafuata vile nnavyotaka mimi. Sawa? Huna ujanja kubali tu yaishe.
huwa mnasikiliza nyie?si mnataka muongee wenyewe tu sisi tusikilize?Umemuuliza mhusika hayo maswali??Maana yeye tu ndo mwenye majibu ya uhakika yatakayoshusha huo munkari .
Still chunguza ndoa yako ilivyo sasa tofautisha na kipindi cha uchumba....labda kumekua na mabadiliko sana.Kama unavyoona yeye kabadilika ndivyo nae anavyoona na wewe umebadilika!Tatizo hapa ni kwamba hamkubadilika pamoja alafu wote ni wale watu wasioweza/jua kuishi na kukubali mabadiliko.Mtabaki kunyoosheana vidole badala ya kila mmoja kujiangalia mwenyewe kwanza na kujirekebisha kabla ya kutaka kumrekebisha mwenzako!Kaeni chini mjadiliane matatizo ya kila mmoja wenu kiungwana ndo mtayamaliza!
huwa mnasikiliza nyie?si mnataka muongee wenyewe tu sisi tusikilize?
Kwani kuna ubaya kumsikiliza mkeo? Na kama anachokuambia kina faida kwa ndoa yenu kwa nini unakasirika? Unataka uambiwe na nani? Mke na Mume kusikilizana bana. Msikilize mwenzio, acha kiburi cha MIMI ni mwanaume WEWE ni mwanamke.huwa mnasikiliza nyie?si mnataka muongee wenyewe tu sisi tusikilize?
ungekuwa mke wangu wewe jumatatu usingeenda kazini.....juu ya nini mke kumjibu mme?Kwani kuna ubaya kumsikiliza mkeo? Na kama anachokuambia kina faida kwa ndoa yenu kwa nini unakasirika? Unataka uambiwe na nani? Mke na Mume kusikilizana bana. Msikilize mwenzio, acha kiburi cha MIMI ni mwanaume WEWE ni mwanamke.
<br />ungekuwa mke wangu wewe jumatatu usingeenda kazini.....juu ya nini mke kumjibu mme?
Hahahahahaha. Una kiburi wewe. Unataka kumkandamiza mkeo! Una bahati hujawa mume wangu, nngehakikisha unanyooka kwenye mstari. Wewe uongee tuuuuuuuuu mwenzio akae kimya! Kisa? MUME. Na yeye si MKE? Mpe nafasi mkeo, vinginevyo kama anakudharau, ila kama anakushauri kwa heshima na Upendo kwa nini usimsikilize?? Punguza munkar basi Shem.ungekuwa mke wangu wewe jumatatu usingeenda kazini.....juu ya nini mke kumjibu mme?
huwa mnasikiliza nyie?si mnataka muongee wenyewe tu sisi tusikilize?
Kama mwanaume hutakiwi kushindwa kumfanya mke wako akusikulize.Acha kumfokea kama mtoto badala yake ongea nae kama mke wako ambae ni mtu mzima!huwa mnasikiliza nyie?si mnataka muongee wenyewe tu sisi tusikilize?
tatizo too much u beijing!hela ntafute mimi,nduguzo nikutunzie,watoto full matunzo,halafu unaleta lomo!Hahahahahaha. Una kiburi wewe. Unataka kumkandamiza mkeo! Una bahati hujawa mume wangu, nngehakikisha unanyooka kwenye mstari. Wewe uongee tuuuuuuuuu mwenzio akae kimya! Kisa? MUME. Na yeye si MKE? Mpe nafasi mkeo, vinginevyo kama anakudharau, ila kama anakushauri kwa heshima na Upendo kwa nini usimsikilize?? Punguza munkar basi Shem.
Hahahahaha. Hajaweka tofali lakini ni MKE. Kwa hiyo mke asipoweka tofali kwenye nyumba inabidi awe msikilizaji tu hata kama anaona mambo hayaendi sawa ndani ya nyumba?Its my fu.....g house,hajaweka tofali hapo!
utaongea saa ngapi wakati ye anachonga kaa kasuku,naenda zangu mie kuutwika ntajua huko huko.Kama mwanaume hutakiwi kushindwa kumfanya mke wako akusikulize.Acha kumfokea kama mtoto badala yake ongea nae kama mke wako ambae ni mtu mzima!