Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,286
- 13,460
Hahahaa haaaa uwiii
vp mkuu umepewa wizara gan??
Hahahaa haaaa uwiii
MMU ingekuwa nchi madarak yangekuwaje?
On my side
Uprezdaa angechukua Mode
Waziri mkuu:Mtambuzi
Wizara ya Fedha: The Boss
Wizara ya afya: Watu8
C.A.G:City hunter J
Wizara ya mambo ya nje:Heaven n earth
endeleeni kupanga wizara...
mabadiliko ruuksa
Wizara ya mambo ya ndani ningekuwa mimi aisee
Wew Hunijui kwel 2kupe wizara..
Wizara ya Afya MziziMkavu bwanaaaaa
Wizara ya mambo ya nje:Heaven on earth
natamani ingekuwa kweli vile lol
Sema HUNIJUI niwe rais then Heaven on Earth uwe First lady bwana, au hupend tukaishi Ikulu???