Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,660
- 7,948
tang'ana ,
Una maneno machafu ndiyo mana utaendelea kukosa vivyo hivyo kila siku.
Hujui kuwa Wazazi wamezaa na kumlea mtoto wao wa kike kwa gharama na mateso tele.
Halafu wewe unachania midomo yako kama mamba eti " nawinda swala"
Ningekuwa karibu nawe ningekuzaba kibao cha 900 ingependeza zaidi.