Hivi Mkurugenzi wa NIDA unalijua Hili?

Idofu

Senior Member
Oct 24, 2022
108
187
Hapa hapa DSM, wananchi wanahangaikia kupata angalau namba tu tangu January mpaka hii leo hawajapata? Hapa hapa KAWE na sio vijijini huko!!

Kila siku unaambiwa Mara Network Sijui imefanya nini, mara Sijui nini kimetokea, yaani ni taabu tupu!, halafu kibaya zaidi Kazi ya Customer service mmewaaachia Walinzi wa Kampuni binafsi huko, hivi mnajua wanavyowahudumia wateja wenu?
 
Hapa hapa Dsm,wananchi wanahangaikia kupata angalau namba tu tangu January mpaka hii leo hawajapata?,hapa hapa KAWE na sio vijijini huko!!

Kila siku unaambiwa Mara Network Sijui imefanya nini,Mara Sijui nini kimetokea,yaani ni taabu tupu!!,halafu kibaya zaidi Kazi ya Customer service mmewaaachia Walinzi wa Kampuni binafsi huko,hivi mnajua wanavyowahudumia wateja wenu?
Hao hawajajua,ili upate Nida lazima uwe nankama kilo hivi.Unaoata fasta,haonwatakuwa wamefichwa white
 
Taasisi ya hivyo sana hii tangu kuanzishwa kwake. Kipindi Cha Magu tu ndipo ilifanya KAZI baada ya mwamba yule kuwa serious. Otherwise is among the most hopeless institution.
 
Back
Top Bottom