Hivi mitambo ya DOWANS imewashwa au bado? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi mitambo ya DOWANS imewashwa au bado?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtu wa Mungu, Mar 5, 2011.

 1. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Lile agizo la waziri mkuu pinda kwamba watawasha mitambo hiyo at all cost limetekelezwa lini????; wanaJF hebu tuhabarisheni???????????????????
   
 2. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mahakama kuu iliingilia kati na kuamrisha ya kwamba kibali cha mahakama kinahitajika kwanza kabla ya kufanya chochote kwenye mitambo hiyo. Hii inatokana na kuwepo kwa kesi mahakamani iliyofunguliwa na wana harakati kupinga malipo ya Dowans.
   
 3. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Usiniharibie mlo wangu wa usiku mie!
   
 4. Bigjahman

  Bigjahman JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  dah apa ndo nafksha lsaa la 18 cjauona umeme,nashangaa sana kwann hawa wa2 wanaendelea kuwepo madarakan na nchi imeshawashnda hii nkfria na biashara nazofanya ukwel najckia kufanya 2kio kubwa laana
   
 5. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ,,,,,,hapa kuna mengi!!!!
   
Loading...