Hivi mimi nimekosea wapi jamani Wana jf?

Wana Jf wenzangu nawashukuru sana kwa maushairi yenu mazuri sana, lakini nitajiajiri na nn nawakati sina hata kianzio....!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kianzio unachokizungumzia ni kipi?? In terms of Money, unaongelea kiasi gani?? Hebu wacha nifikirie vile vile unavyofikiria wewe na tutafika tu
 
Kianzio unachokizungumzia ni kipi?? In terms of Money, unaongelea kiasi gani?? Hebu wacha nifikirie vile vile unavyofikiria wewe na tutafika tu
Kianzio ninachokizungumzia ni fedha, ningekuwa na fedha aidia ninayo ikiwemo ya Utalii n.k.... na uwezo wa kuisimamia ninao.. mkubwa sana. Ila sina namna kabisa....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujakosea kitu,
Kwani kila jambo na wakati wake,
Kikubwa endelea kutafuta sana kazi,
Mtegemee sana Mwenyezi Mungu,
Na kuwa sana na subira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana mkuu kwa changamoto.Bila Shaka mkuu umesoma module inayoitwa Business Administration Techniques ambayo ni core katika kozi uliyochukua,sasa mkuu nakuomba rejea katika hilo soma kuanzia pale kwenye Business ideas,what is idea...and so on check na mazingira yako ongeza hasira na maombi na uhakika hukosi cha kufanya
Ova
 
Sawa na ahsante sana kwa ushauri wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…