1. Taasisi inahitaji kuajiri kwa ajili ya kugawanya majukumu na kufanya kazi ifanyike kwa ufanisi zaidi.
2. Nahitajika kuajiriwa b/cause mm nitakuwa chachu ya kampuni, nitasolve matatizo ya wateja mbalimbali, nitapambana kuisaidia kampuni kujipanua zaidi ili na mm niweze kulipwa na maisha yaendelee!
Sent using Jamii Forums mobile app
| Mwajiri anachotaka | Wewe Unacholeta | Maoni |
|---|---|---|
| Taasisi inahitaji kuajiri kwa ajili ya kugawanya majukumu | Nahitajika kuajiriwa b/cause mm nitakuwa chachu ya kampuni, nitasolve matatizo ya wateja mbalimbali, nitapambana kuisaidia kampuni kujipanua zaidi | Kampuni inaajiri kugawana majukumu. Wewe huna mpango na majukumu ya kampuni hiyo, unataka tu wakupe cheo cha kusolve matatizo ya wateja, na kupanga mipango ya kampuni kujipanua zaidi |
| na kufanya kazi ifanyike kwa ufanisi zaidi | ili na mm niweze kulipwa na maisha yaendelee! | Kulipwa ili na wewe uweze kujitutumua kwamba una kazi, ndicho kitu cha muhimu kwako. Kampuni inataka ufanisi au nini, we huoni ikikuhusu. Hii ndio alama kubwa ya unapokosea. |
Naishi Arusha,
Hongera. Uko vizuri.
nimemaliza Barchelor of business administration-accounting 2017,
Huna CPA. Kwa hiyo wewe siyo mhasibu. Hata ungekuwa na PhD ya Accounting, kama huna CPA (T) huruhusiwi hata kujiita mhasibu hapa Tanzania.
nimefanya training ya kutosha ya uhasibu nafahamu vitu vingi katika maswala ya kihasibu, naifahamu Excel vzr sana, nazifahamu system (tally & qwickbook),
Inaonekana unapenda sana uhasibu. Nakisia ulisoma ECA (Excpected Chief Accountant 😉 ). Lakini bila CPA (T) wewe katu si mhasibu.
nimeongeza ujuzi wa UTALII na nina training ya kutosha kwenye kampuni moja hapa mjini Arusha upande wa Tour operations(Safaris sales costs, Reservations, good relations for customers, Hotels, lodges, & camps).
Kwa vile unavyopenda uhasibu, ungependa kwenye hiyo kampuni ya tours uwe ndio mhasibu wao (bisha!!).
Niko tayari kufanya kazi na kampuni yeyote ndani /nje ya nchi.
Hiyo kampuni ya tours kwa nini haikuajiri? Pengine ni kwa vile unaichukulia kama sehemu ya mapito tu, na kama wanataka kukuajiri, basi wakuajiri kama mhasibu, tena mhasibu mkuu.
Naombeni mwenye uwezo wa kunisaidia anisaidie via # 0689-309695.
Tusio na uwezo tunakomenti hapa tu. Ni siyo? 🙄
Kupitia training nilizobazo sihitaji kufundishwa kazi wala kusimamiwa maana ninauwezo wa kufanya kazi vizuri.
Tutajuaje? Spelling and punctuation mistakes kwenye bandiko lako zinatia mashaka umakini wako katika kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok. utakapoweza fanya lolote tuwasiliane
Duh! Nimetoa ombi langu hapa lakini majibu ninayopokea hadi yananisikitisha.....! Mwenzenu nisaidieni jamani. Najua humu ndani kuna watu wanamakonections ya kutosha.
Msaada please.......!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mheshimiwa Mlenge! Nashukuru sana kwa comments zako maana unanichoma moyoni. Najua na wewe una makonections yako niboot jamaa yangu...!Pole mkuu Ba Bii ,
Wengine tulichukulia kichwa cha habari [Hivi mimi nimekosea wapi jamani Wana jf?] tukidhania unamaanisha.
Ungetaka tukuambie maneno mazurimazuri tu ya kukufurahisha, ungeomba tu connections bila kuhitaji kuambiwa unapokosea. Lakini si mbaya. Kumbuka pia wapo wengine wanaotafuta kazi wanaoweza kunufaika pia na uzi huu.
Mheshimiwa Mlenge! Nashukuru sana kwa comments zako maana unanichoma moyoni. Najua na wewe una makonections yako niboot jamaa yangu...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Aheante....!Hayo ninayokueleza ndiyo makonekshen yenyewe!
Kwa mujibu wa Findology 101, unapotafuta kitu unaanzia palepale ulipo. Vijana wengi wanapopewa fursa ya ajira ya muda, hudhani hiyo ni janja ya mwajiri kuvuta muda mpaka siku itakapotokea nafasi ya kuajiri, ndipo watakapomwita kwenye intavyuu, ambayo akijibu maswali ipasavyo, basi watamuajiri. Wanachosahau ni kwamba kwa kipindi chote cha ajira ya muda, hiyo ndiyo intavyuu yenyewe!
Shuleni tunaenda kujifunza namna ya kujifunza. Hicho ndicho kitu kikubwa tunachokipata shule. Mengine yote tunakutana nayo duniani. Waajiri wengi wanaweza kuajiri mtu aliyesoma karibu kitu chochote kile -- kwa vile wanaamini ana uwezo na mbinu za kujifunza namna ya kujifunza. Kila mtu mwenye cheti ngazi moja na ya cha kwako anaweza kuchukuliwa kuwa na uwezo huo wa kujifunza namna ya kujifunza sawa na wa kwako. Sasa, kwa nini wakuajiri WEWE na siyo yeyote mwingine? Jibu ni yote mengine ambayo SI ujuzi wa kazi.
Haya mengine ndiyo mwajiri anayoyatafuta kwanza:
1. Soft Skills
Top Soft Skills Employers Value With Examples
List of soft skills that employers look for in candidates for employment, examples of each type of skill, and how to show employers you have them.www.thebalancecareers.com
Soft Skills | SkillsYouNeed
'Soft skills' are skills that are desired by employers but are not job-specific. Learn more about the most important soft skills and how to develop them.www.skillsyouneed.com
2. What value do you add to the organization?
What would they miss if they did not employ you?
How to Add Value to Your Company & Contribute to Your Team | Envato Tuts+
Everyone wants to get a raise or a promotion, but few ask, "What can I bring to the company?" Knowing how to add value to your company is the first step.business.tutsplus.com
Tafadhali soma pia kitabu cha Dale Carnegie: How to Win Friends and Influence People
Kisha lete mrejesho.
hyo ni misemo tu mkuu haina impact katika real life watu wako nyumbani wanasubr chakula upo unasoma vitabuMkuu mimi ni graduate kama wewe tumetofautiana tu miaka jimi ni 2016 ila nadhani tofauti yetu ingine ni kwenye mindset.
Badili mtazamo brother, anza kuiona dunia katika upande wa abudance na siyo scarcity tafuta namna ambayo watu watakutafuta wakulipe kupata huduma yako.
Napendaga kamsemo haka " if u want to attract be attractive "
Jaribu kupiga brush ujuzi na talanta yako nakuhakikishia hutatembea na baasha ya kaki mtaani kutafuta mlo.
Kama hujui pa kuanza basi anza kwa kusoma vitabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jishikize kwenye makampuni ya ulinzi mpaka hapo bwana mkubwa atakapoachia utitiri wa ajira zinazoendana na fani uliyosomea.
Si kwamba huko kwenye makampuni ya ulinzi unaenda kuwa mhasibu wao, hapana.
Unaenda kuwa mlinzi, na utapangiwa zamu sawa na form four leaver utakaowakuta wakiwa wana uzoefu wa 10 years kwenye hiyo industry ya kukurupushana na majambazi.
Kila la kheri.
Wana Jf wenzangu nawashukuru sana kwa maushairi yenu mazuri sana, lakini nitajiajiri na nn nawakati sina hata kianzio....!Hakuna cha awamu mbaya ama nzuri, ajira ni ngumu hasa kwa nchi zilizoendelea na zinazoendela ni ngumu. Unaposoma sio lazima uajiriwe, kusoma maana yake ni kuondoa ujinga na uweze kupambanua vitu kwa upana wake, nakushauri ujiajiri mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakike wewe, tafuta mume achana na madanga, yanapumbaza akili.
Dah! Umenitukana kabisa.....Jomba..!Wakike wewe, tafuta mume achana na madanga, yanapumbaza akili.
Angalia na sehemu za kujitolea!!Hapa nilipo najitolea na ndipo nilipopatia uzoefu mkubwa lakini hupewi hata 100, na nikama wenye ofc wameanza munichoka maana nimekaa mda mrefu alafu sipati kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
onyesha CV yako tafadhaliNaishi Arusha, nimemaliza Barchelor of business administration-accounting 2017, nimefanya training ya kutosha ya uhasibu nafahamu vitu vingi katika maswala ya kihasibu, naifahamu Excel vzr sana, nazifahamu system (tally & qwickbook), nimeongeza ujuzi wa UTALII na nina training ya kutosha kwenye kampuni moja hapa mjini Arusha upande wa Tour operations(Safaris sales costs, Reservations, good relations for customers, Hotels, lodges, & camps).
Niko tayari kufanya kazi na kampuni yeyote ndani /nje ya nchi. Naombeni mwenye uwezo wa kunisaidia anisaidie via # 0689-309695.
Kupitia training nilizobazo sihitaji kufundishwa kazi wala kusimamiwa maana ninauwezo wa kufanya kazi vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sanaHapa nilipo najitolea na ndipo nilipopatia uzoefu mkubwa lakini hupewi hata 100, na nikama wenye ofc wameanza munichoka maana nimekaa mda mrefu alafu sipati kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app