Hujakosea popote ila tu umegraduate katika awamu mbaya ya JPM haijawahi kutokea ajira hamna kwasabb mzunguko wa pesa uko low sanaa private sekita hawaki kwa ajili wataalamu hawana wakika na mishahara yao.......serikali hela imeiweNaishi Arusha, nimemaliza Barchelor of business administration-accounting 2017, nimefanya training ya kutosha ya uhasibu nafahamu vitu vingi katika maswala ya kihasibu, naifahamu Excel vzr sana, nazifahamu system (tally & qwickbook), nimeongeza ujuzi wa UTALII na nina training ya kutosha kwenye kampuni moja hapa mjini Arusha upande wa Tour operations(Safaris sales costs, Reservations, good relations for customers, Hotels, lodges, & camps).
Niko tayari kufanya kazi na kampuni yeyote ndani /nje ya nchi. Naombeni mwenye uwezo wa kunisaidia anisaidie via # 0689-309695.
Kupitia training nilizobazo sihitaji kufundishwa kazi wala kusimamiwa maana ninauwezo wa kufanya kazi vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujakosea popote ila tu umegraduate katika awamu mbaya ya JPM haijawahi kutokea ajira hamna kwasabb mzunguko wa pesa uko low sanaa private sekita hawaki kwa ajili wataalamu hawana wakika na mishahara yao.......serikali hela imeiwe
keza kwenye miundombinu ambaye haizalishi haraka kwahiyo sio wewe tu uchumi wa nchi nzima umesha umba unaendeshwa kwa propaganda na data fake....
Sent using Jamii Forums mobile app
Naishi Arusha, nimemaliza Barchelor of business administration-accounting 2017, nimefanya training ya kutosha ya uhasibu nafahamu vitu vingi katika maswala ya kihasibu, naifahamu Excel vzr sana, nazifahamu system (tally & qwickbook), nimeongeza ujuzi wa UTALII na nina training ya kutosha kwenye kampuni moja hapa mjini Arusha upande wa Tour operations(Safaris sales costs, Reservations, good relations for customers, Hotels, lodges, & camps).
Niko tayari kufanya kazi na kampuni yeyote ndani /nje ya nchi. Naombeni mwenye uwezo wa kunisaidia anisaidie via # 0689-309695.
Kupitia training nilizobazo sihitaji kufundishwa kazi wala kusimamiwa maana ninauwezo wa kufanya kazi vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, mambo yapo mengi ambayo naweza nikafanya. Ila kwa sasa siwezi fanya lolote maana sina pakuanzia pasipo kuwa na kianzio. Natamani nipate kazi ili nipate capita then kuanzia hapo ndio nitajua nn chakufanya...Mkuu,
Katika maisha kuna mambo mengi sana Magumu ila jambo gumu kuliko lote ni hili unalopitia sasa.Pembeni ya kuajiriwa ni kitu gani kingine ambacho unaweza kukifanya?
1. Taasisi inahitaji kuajiri kwa ajili ya kugawanya majukumu na kufanya kazi ifanyike kwa ufanisi zaidi.1. Kwa nini taasisi itake kuajiri.
2. Kwa nini inapotaka kuajiri, ikuajiri wewe.
Ok. utakapoweza fanya lolote tuwasilianeMkuu, mambo yapo mengi ambayo naweza nikafanya. Ila kwa sasa siwezi fanya lolote maana sina pakuanzia pasipo kuwa na kianzio. Natamani nipate kazi ili nipate capita then kuanzia hapo ndio nitajua nn chakufanya...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi tatizo ulilonalo ni la wengi na ukihitaji kwanza toa mawazo ya kuajiliwa, vyeti viweke ndani ya begi iwe tu kuajiliwa kukutakukuta mbele ya safari.Naishi Arusha, nimemaliza Barchelor of business administration-accounting 2017, nimefanya training ya kutosha ya uhasibu nafahamu vitu vingi katika maswala ya kihasibu, naifahamu Excel vzr sana, nazifahamu system (tally & qwickbook), nimeongeza ujuzi wa UTALII na nina training ya kutosha kwenye kampuni moja hapa mjini Arusha upande wa Tour operations(Safaris sales costs, Reservations, good relations for customers, Hotels, lodges, & camps).
Niko tayari kufanya kazi na kampuni yeyote ndani /nje ya nchi. Naombeni mwenye uwezo wa kunisaidia anisaidie via # 0689-309695.
Kupitia training nilizobazo sihitaji kufundishwa kazi wala kusimamiwa maana ninauwezo wa kufanya kazi vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
" Si kwamba huko kwenye makampuni ya ulinzi unaenda kuwa mhasibu wao, hapana."Jishikize kwenye makampuni ya ulinzi mpaka hapo bwana mkubwa atakapoachia utitiri wa ajira zinazoendana na fani uliyosomea.
Si kwamba huko kwenye makampuni ya ulinzi unaenda kuwa mhasibu wao, hapana.
Unaenda kuwa mlinzi, na utapangiwa zamu sawa na form four leaver utakaowakuta wakiwa wana uzoefu wa 10 years kwenye hiyo industry ya kukurupushana na majambazi.
Kila la kheri.