Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Passion Lady subiri bana si unajua bunge likikaa kama kamati mambo yanakuwa mengi ya kupitia ndo maana tunapitia kifungu kwa kifungu tusije tukaharibu aise
yani ujue hata mchana sijala
kisa umbea wa kusubiri mtangaze lol!!
mnitumie na waiting chagi kabisa kwny pm!!duh binamu kweli wewe mkali subiri tuu utapata taarifa binamu Passion Lady Dena Amsi anasua sua kutoa majibu bana
mnitumie na waiting chagi kabisa kwny pm!!
Nishamtumia mpaka nafikiri zimejaa server ila kauchuna Dena Amsi njoo kipande hiii unasubiriwa bana tamko lako muhimu sana
kashaescape huyo
kumuona hapa mpaka wk/end ijayo hahaa!!