afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,728
WIFE ANAJUA AU?
Mpe maujanja dogo,acha uchoyo wa elimu mkuu!...Hili swali inabidi waje wazoefu
Huyu anaonyesha alikuwa anachepuka toka akiwa na miaka 5umetisha yaani mwenzi tiali ushaanza kuchepuka!!!!!!!
Muruhusu aitoe kwa gharama zake,unatishiwa nyau na wewe unatishika?,wanaume siku hizi sijui tukojeHabari wanabodi,
Nimekuja kuomba ushauri. Nimeoa mwezi uliopita sasa kuna kamchepuko kangu kamenasa mimba mwezi niliofunga ndoa, sasa kananisumbua balaa kila muda kanataka niwe nako halafu wameungana na dada yake yaani anataka nimthamini kuliko mke wa ndani.
Nikiwa kazini anatuma text njoo nyumbani la sivyo natoa mimba, yaani amekuwa kero kwakweli. Dada yake anamsapoti sana nimechoka.
Juzi nilimwambia nasafiri kikazi nje ya mkoa akataka niende nae nikagoma akaanza kusema yeye basi anatafuta mtu mwingine maana ana genye, nikasema tafuta tu mimi sitaki mahusiano ya kimapenzi na wewe..., akaanza basi mimi natoa mimba siwezi lea kiumbe asiye na faida.
Kwa kweli mchepuko huu ni taabu tu.
Michepuko acheni hizo jamani!Hovyooo!!!
KabisaaaaaWewe??? nakuuliza wewe umeoa??
Unajua maana ya kuoa???
Kama unajua maana ya kuoa, sidhani kama utakuwa umeoa.
Yani wenzako waliooa mwezi uliopita hivi sasa wako honeymoon we uko hapa unatuletea habari za michepuko...
Mi nadhani hujaoa bali umeozeshwa.