Hivi mh. Mbowe umeturogea wapi wanaCHADEMA

mbowe anakiuzia chama magari na majenerator kwa manufaa yake yeye.

kama haitoshi aliwahi kukiuzia chama vyombo vya muziki chakavu.

Juzi zitto kabwe katusaidia kutueleza bayana jinsi mbowe alivyopokea hela za mafisadi ili afanyie kampeni.

Leo sote tumeona mbowe amekodisha chopa tatu kufanyia mikutano ya siasa.

kama haitoshi mbowe anatumia magari mawili ya serikali moja la kiongozi wa upinzani bungeni na lingine la mbunge.

Lakini pia mbowe kawa fisadi wa madaraka kwa kuchakachua katiba ili awe mwenyekiti wa milele.
 
mbowe = Bi. Kilembwe
wafuasi wa chadema = wanaginingi waliolishwa unga wa ndele
chadema = sikio la kufa
wafuasi wake = misukule

Juzi mwenyekiti wetu wa chama amezindu operesheni ya nne kama sio ya tano ya pamoja daima.Tunajua tu kwamba huo ni mradi wa kupiga hela wa viongozi wetu wa juu.Lakina wanachama tunashindwa kuhoji na tunakupongeza mwenyekiti.Hivi mbowe umetorogea wapi wanachadema mpaka tunashindwa kukuhoji?.Kwanini hiyo pesa msingeleta kwenye matawi tukajenga chama huku vijijini?.
 
Huo upuuzi wenu wa huko chadema,umalizeni wenyewe.
 
attachment.php
 
mbowe ni janga la kitaifa na ni fisadi mkubwa na pia ni hatari sana kaatika ustawi wa demokrasia ya kweli nchini pamoja na siasa za ushindani hapa tanzania, tunapaswa kumuogopa zaidi ya malaria
 
Kama hiyo haitoshi anajilipa madeni hewa, kwa mujibu wake alikikopesha chama wakati wa kampeni.
 
Si nyie na vibaraka wenzenu akina MM mlisema chama hakina hela? inawauma eee!! mtasubiri sana mwendo huu huu mpaka 2015
 
mbowe anakiuzia chama magari na majenerator kwa manufaa yake yeye.

kama haitoshi aliwahi kukiuzia chama vyombo vya muziki chakavu.

Juzi zitto kabwe katusaidia kutueleza bayana jinsi mbowe alivyopokea hela za mafisadi ili afanyie kampeni.

Leo sote tumeona mbowe amekodisha chopa tatu kufanyia mikutano ya siasa.

kama haitoshi mbowe anatumia magari mawili ya serikali moja la kiongozi wa upinzani bungeni na lingine la mbunge.

Lakini pia mbowe kawa fisadi wa madaraka kwa kuchakachua katiba ili awe mwenyekiti wa milele.

Hivi gari ya Mbunge ni ya serikali ee!!, kweli unahitaji kuwa jasiri sana ili kuyatetea magamba
 
Juzi mwenyekiti wetu wa chama amezindu operesheni ya nne kama sio ya tano ya pamoja daima.Tunajua tu kwamba huo ni mradi wa kupiga hela wa viongozi wetu wa juu.Lakina wanachama tunashindwa kuhoji na tunakupongeza mwenyekiti.Hivi mbowe umetorogea wapi wanachadema mpaka tunashindwa kukuhoji?.Kwanini hiyo pesa msingeleta kwenye matawi tukajenga chama huku vijijini?.

Thread hii haioneshi hata 0.00000000001% kuwa ww n mwana chadema. waache wenye chama chao waendelee na mambo yao. Hayo ndo matumiz yao acha kuzubaisha watu.
 
Juzi mwenyekiti wetu wa chama amezindu operesheni ya nne kama sio ya tano ya pamoja daima.Tunajua tu kwamba huo ni mradi wa kupiga hela wa viongozi wetu wa juu.Lakina wanachama tunashindwa kuhoji na tunakupongeza mwenyekiti.Hivi mbowe umetorogea wapi wanachadema mpaka tunashindwa kukuhoji?.Kwanini hiyo pesa msingeleta kwenye matawi tukajenga chama huku vijijini?.
najua unatafakar utaishije baada ya ule mrija wa Mpesa na tigo pesa kisitishwa...utakufa njaa mwaka huu....!!! tuhoji umuhimu Wa operashen au matumiz? una akil punje we dogo
 
Juzi mwenyekiti wetu wa chama amezindu operesheni ya nne kama sio ya tano ya pamoja daima.Tunajua tu kwamba huo ni mradi wa kupiga hela wa viongozi wetu wa juu.Lakina wanachama tunashindwa kuhoji na tunakupongeza mwenyekiti.Hivi mbowe umetorogea wapi wanachadema mpaka tunashindwa kukuhoji?.Kwanini hiyo pesa msingeleta kwenye matawi tukajenga chama huku vijijini?.
Njoo tujiunge kwenye CHADEMA ni msingi acha kupiga domo.
 
bila shaka huu ndiyo uzi mbovu na wa kimasikini zaidi kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita !
 
Juzi mwenyekiti wetu wa chama amezindu operesheni ya nne kama sio ya tano ya pamoja daima.Tunajua tu kwamba huo ni mradi wa kupiga hela wa viongozi wetu wa juu.Lakina wanachama tunashindwa kuhoji na tunakupongeza mwenyekiti.Hivi mbowe umetorogea wapi wanachadema mpaka tunashindwa kukuhoji?.Kwanini hiyo pesa msingeleta kwenye matawi tukajenga chama huku vijijini?.

Kunya anye kuku, bata akinya kaharisha. Nape, Kinana na Migiro walipokuwa wanafanya ziara nao walikuwa wanapiga hela sio? Leo umepiga nje hupati book 7.

Tiba
 
Wana cdm uwezo wa kufikiri ni mdogo na hii ni kutokana na mahaba yaliyopitiliza ,badilikeni
 
Endeleeni kutoa jero jero hizo... Unasaga zege jioni unapeleka jero kwa Mbowe safi endeleeni kumchangia mtumishi Slaa...
 
Time for propaganda have gone chama cha kijani nyundo name jembe bado mna mambo ya enzi zile mwanakijiji anapohoji gov inashindwa kumlipia 2500 ............
 
THE TALK na wengine wote wa design yako njee ya kua hamna akili cdhani hata kichwa cha kubebea upongo kama mnacho nyie pigen porojo ss ni kaaaz tuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom