muulize kama lusinde anajua.
1)Maana sijawahi kumsikia anazungumza kiingereza 2)ndio maana hata ziara za chama nje ya nchi huwa anakwepa
kiingereza ndo nini?Maana sijawahi kumsikia anazungumza kiingereza ndio maana hata ziara za chama nje ya nchi huwa anakwepa
![]()
Avatar yako ipo hivi, tutegemee nini? ni kwanini humtendei haki huyo marehemu?
Leo nimeamka nimekuta maji yamekatika, nikatumia tu tussue, yaani nasikia nawashwa sana itabidi ninunue maji ya chupa, nikosa nitatumia hata soda, kishindikana tusker
mleta uzi yuko sahihi. kiongozi mkuu lazima ajue kiingereza. kwa mbowe naona kuongea kiingereza ni kama kumuambia abebe mlima wa Kilimanjaro. kinampa tabu sana! nashauri apelekwe ktk kozi ya kiingereza. ndugu zanguni mimi naamini kuwa uzungumzaji kiingereza kwa ufasaha ni kigezo cha usomi na uelewa mzuri wa mtu. haiwezekani ufike chuo kikuu kasha ushindwe kuongea kiingereza. ww ni bongo lala. kuna siku hamad Rashid alimtoa kamasi mbowe ktk mdahalo wa pamoja. siku hiyo ndiyo niligundua upeo na uwezo mdogo wa mbowe.
Je uliwahi kuongea naye kwa kiingereza akashindwa kukujibu?Maana sijawahi kumsikia anazungumza kiingereza ndio maana hata ziara za chama nje ya nchi huwa anakwepa
punguza ujuha na ukijiweni hapa. Tunazungumzia lugha. Nakiri kuwa ana mengi kayafanya. Hapa mjadala ni uwezo wake wa kuongea kiingereza. Ndiyo maana mnafeli sana mitihani. Unaulizwa hili ww unajibu lile. Badilika dogo!mbowe kafanikiwa awe anajua lugha hiyo au la, kwani chadema kailetea mafanikio makubwa.acha kuhukumu kitabu kwa kava lake.
Lipumba na usomi wake kafanikiwa nn kwenye chama chake?
Jakaya naye je? Idadi ya wabunge chamani kwake imepungua, je hayo ndo mafanikio?
Mikataba mibovu wanasaini wote wanajua lugha husika,nao wamesaidia nn taifa zaidi ya hasara kubwa?
Achana na unafiki jenga hoja zenye kusaidia taifa na raia wake.
Mkuu!!!!! Hamad Rashid si yule mbunge wa mahakama?mleta uzi yuko sahihi. kiongozi mkuu lazima ajue kiingereza. kwa mbowe naona kuongea kiingereza ni kama kumuambia abebe mlima wa Kilimanjaro. kinampa tabu sana! nashauri apelekwe ktk kozi ya kiingereza. ndugu zanguni mimi naamini kuwa uzungumzaji kiingereza kwa ufasaha ni kigezo cha usomi na uelewa mzuri wa mtu. haiwezekani ufike chuo kikuu kasha ushindwe kuongea kiingereza. ww ni bongo lala. kuna siku hamad Rashid alimtoa kamasi mbowe ktk mdahalo wa pamoja. siku hiyo ndiyo niligundua upeo na uwezo mdogo wa mbowe.