Hivi Mayanga Construction, kampuni ya ujenzi wa barabara nyingi awamu ya 5 imepotelea wapi?

Ndio akina magu2016 wamebaki kutukana tu
Ndiyo hawa wanaomtukana Samia na January mitandaoni, wana UCHUNGU MKUU, Ambao hauna mwisho! Ulaji wao walikuwa wanaupatia Ujenzi na Uchukuzi & Nishati, Jiwe na watu wake wamekomba hela sana huko, Mother kapiga pini kaweka watu wake! WANAHASIRA HAOO BALAA, NI VILE HAWANA CHA KUFANYA, Maana wakileta chokochoko wananyooshwa, wamebakia kutukana kwa IDs fake mitandaoni, Nyambaf zao
 
Punguza wivu kaka, hata ukimjua mmiliki wa Mayanga hutoweza kupunguza ukali wa maisha uliokuzunguka. Kwa sasa ningekushauri uendelee kuzungumzia na kutuletea kinachojili katika kesi ya mbowe huku kwingine unapuyanga.
 
Punguza wivu kaka, hata ukimjua mmiliki wa Mayanga hutoweza kupunguza ukali wa maisha uliokuzunguka. Kwa sasa ningekushauri uendelee kuzungumzia na kutuletea kinachojili katika kesi ya mbowe huku kwingine unapuyanga.
Mkuu mbona ni swali rahisi tu mdau kauliza lakini wew umepanic kiboya, ukimjibu au ukikaa kimya kama huna jibu bado hupungukiwi kitu, acha ku act kama Sukuma gang
 
Hii kampuni ndiyo ilijenga uwanja wa ndege wa Chattle. Bajeti yake ilikuwa bilioni 41 wao wakatumia zaidi ya bilioni 50 kama sikosei.

Stephen Makigo ndo managing director, alikuwa swahiba wa mwendazake. Kwenye ile video maarufu ambapo mwendazake alishawishiwa achukue form ya kugombea urais, akasema watanzania watalimia meno endapo atachaguliwa, huyo Stephen Makigo alikuwa mmojawapo waliokuwa wakimshawishi agombee urais. Pamoja na Charles Kitwanga.
 
Back
Top Bottom