Hivi matusi hayana cha mkubwa

Hivi matusi hayana cha mkubwa

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Hivi kumbe matusi hayana cha mtu mzima!!!
Kuna maza ana miaka kama 50 kamtukana kondakta ""wee ni m****e"" hadi abiria tumemshangaa!
Na wewe mtu mzima huwa unafanya hivi?
 
Hivi kumbe matusi hayana cha mtu mzima!!!
Kuna maza ana miaka kama 50 kamtukana kondakta ""wee ni m****e"" hadi abiria tumemshangaa!
Na wewe mtu mzima huwa unafanya hivi?

Inahusiana nin na jukwaa la mmu
 
Hamna kitu kinakera kama matusi,si wamama sii wababa,vijana ndo kila akizungumza lazima aweke tusi kama kiunganishi,
wamama nao wamebadili majina ya watoto wao na kuweka matusi,
wababa nao wakirudi nyumbani matusi kwanzia kwa mtoto na mama..ni shida tupu,
 
Back
Top Bottom