


Haifahamiki badoHivi Pesa inamaliza Matatizo au Matatizo ndiyo yanamaliza Pesa?
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Hivi Pesa inamaliza Matatizo au Matatizo ndiyo yanamaliza Pesa?
Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Umepanga ufanye hichi linakuja tatizo linapandilia kwa juu!![]()
Sio la kuchekesha hili labda hayajakufika!

nimetoka kutumia 700k within a hour hakuna ujinga mbaya ,kama kuweka hela kwenye simu/bank alafu ukawa ba appAlafu kuna kina wale huna hela matatizo lukuki ukipata tu pesa zinaishia kusolve matatizo au kulipa madeni uliyokopa ili usolve matatizo![]()





nimetoka kutumia 700k within a hour hakuna ujinga mbaya ,kama kuweka hela kwenye simu/bank alafu ukawa ba app![]()