Hivi Marekani ni kweli watu wanakufa hivi au tunadanganywa?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,654
Nashindwa kuamini kama kweli USA inaweza kukubali watu wake wauwaee kama kuku kiasi hiki. Hadi watu elfu 4 kwa siku sio kitu cha mchezo. Maana yake ni kuwa mji ungekuwa buzy day and night kukusanya maiti kila kona.

Wasijekuwa wanatudanganya ili kuuwa uchumi wa nchi zetu maskini.

Screenshot_20200425-215508_Google.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashindwa kuamini kama kweli USA inaweza kukubali watu wake wauwaee kama kuku kiasi hiki. Hadi watu elfu 4 kwa siku sio kitu cha mchezo. Maana yake ni kuwa mji ungekuwa buzy day and night kukusanya maiti kila kona.

Wasijekuwa wanatudanganya ili kuuwa uchumi wa nchi zetu maskini.

View attachment 1430528

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkubwa ni kweli maana wameunganisha hospital na healthcare zote USA kwenye mtandao unaotoa taarifa ya idadi ya wagonjwa au vifo namba zinaongezeka au kupunguwa huitaji kuuliza mtu unaingia mtandaoni unapata kila kitu ni ngumu sana kudanganya .
 
ila hao kipindi cha flue kama hiki huwa wanakufa sana, sema hio imezidi sasa
But nadhani kuna kitu nyuma ya hii korona

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitu vinashangaza sana maana hata huku afrika watu wamekuwa kama wamayasahau magonjwa mengine yote ambayo huwa yanatusumbua kila siku na kusababisha sana vifo,hivi sasa hivi unasikia corona tu.
 
Mi nadhani ni wanapika data pia. Sidhani kama watu wanakufa kiasi hicho. Inawezekana wanachukua idadi ya watu wote walnaokufa hata kama ni ajali za barabarani, uzee, au vifo vinavyosababishwa na magonjwa mengine pia na sio CovID-19.
Hivi mnaona kila kitu kimesimama halafu bado mnasema ni uongo?Ligi za mpira zimesimama, majiji ya dunia watu wapo ndani halafu unakuja hapa kusema ni uongo?Watudanganye kwa faida ya nani?

Acha kulala mkuu!!
 
Sipingani na wewe kuhusu kufungwa kwa majiji na kusimama kwa shughuli za kiuchumi. Mimi nimesema NINADHANI nao wanapika data.

Hiyo idadi ya watu kufa ni kubwa sana. Inaweza kuwa kweli lakini bado mimi siamini kabisa hizo taarifa za idadi ya wafu.
Sipingi kwamba Corona haipo, na sisemi haiui, bali nina mashaka na idadi ya vifo vinavyotangazwa.
 
Hakuna nchi imevurugwa uchumi wake na corona kama USA,,watu milioni 26 wamepoteza ajira,uchumi uko kwenye recession, Trump anaweza shindwa kwenye uchaguzi ujao. Wapike data ili iweje? Trump ajipige risasi mguuni mwaka wa uchaguzi? Hakuna conspiracy coz covid-19 is real and deadly,tusubirie zamu yetu kwa sababu hatujachukua hatua stahiki za kupambana na huu ugonjwa.

Apana mkuu hapa tunaugua na kupona ndani ya siku 3!!tungekuwa tushaanza kuokotwa mitaani!
Chukuwa tahadhari corona ipo!
 
Back
Top Bottom