Hivi Marekani akiiwekea vikwazo Tanzania ndio upinzani unaingia Ikulu? Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini chama ni kile kile ZANU PF

Kwa sauti hizi, naamini kuna jambo baadaye linakuja ambalo si jema.

Kama kweli kuna watu wana mapenzi mema na taifa lao, basi watafanya kila wawezalo ili kuepusha lawama kuwa upande wao.
Kinyume na hivi basi maneno yao hayana maana yoyote.

Wanasiasa wanatakiwa kutazama upya nyendo zao na kuweka itikadi zao pembeni.

Ndiyo, ni wakati wao sasa, lakini kuna kesho na kesho kutwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnahalalisha unyama wenu? Kama mnadhani tutadanganyika kwa mifano yenu ya kidikteta jueni hatidanganyiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wamekuwa wajuzi sana wa kutafuta mifano yenye kutaka kuhalalisha udhaifu/uovu/uhalifu wao. Huko ni kujifariji nafsi tu.

Kama unaamini upo salama ni wewe, lakini si ndugu na jamaa zako. Sasa mambo hayo ni kwa faida ya nani?

Tusipende kutishana sana, zaidi tujifunze kuheshimiana.

*Ukiaminiwa basi aminika*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimwangalia ZITO tabia ya usaliti alianza nayo toka zamani tangu enzi akiwa CHADEMA mabeberu wake walikuwa ni Serikali ya Kikwete iliyokuwa inamtumia kula hela zaidi

.Alipoingia Magufuli alijua kuwa utaratibu ule wa awali utaendelea kwamba Magufuli ataendelea kumtumia Zito kudhoofisha Upinzani ndiyo maana wakati wabunge wenzie wa Upinzani wanasusia bunge yeye alibaki bungeni

Wakati Tundu Lissu anazunguka Ulaya na Marekani kumtukana Rais yeye alimtukana pia Lissu

Baada ya kujipima na kuangalia nguvu ya Ushawishi imeisha na hayupo wa kumbeba ikabidi ajisalimishe kwa Mabeberu wamtumie kuharibu Taswira ya nchi

Aliona wivu jinsi Lisu alivyokuwa maarufu kwa hiyo ameamua kumvuruga Lisu

Lakini tujiulize Marekani akiweka Vikwazo Tanzania ndo CCM itaondoka? Jibu hapana pia Zito akumbuke kwamba Nchi ikiwekewa Vikwazo huwa inajiweka kwenye State Urgency yaani wananchi huungana kuyakabili matatizo
Sio kweli, nchi ikiwekewa vikwazo hugawanyika na kwa kuwa wanaoumia waga ni wengi hawawezi kuiunga mkono serikali iliyosababisha nchi iwekewe vikwazo hili tunaliona ktk nchi zote zilizowekewa hivyo vikwazo.
 
Ukimwangalia ZITO tabia ya usaliti alianza nayo toka zamani tangu enzi akiwa CHADEMA mabeberu wake walikuwa ni Serikali ya Kikwete iliyokuwa inamtumia kula hela zaidi

Mkuu, umemaliza elimu ya msingi kweli? Aliyesema kina Zitto wanaenda World Bank ili CCM iondolewe madarakani nani?

Na hivi wewe, shemeji yako akimripoti dada yake kwa baba yako kwamba mkeo ana tabia ya kufanya ngono kinyume cha maumbile na watumishi wa ndani ya nyumba yako, utamwona msaliti? Huo ndio mfano wa kitu alichofanya Zitto.

Sasa sijui mwenye akili nani kati yenu; wewe unaemwona shemeji yako msaliti au shemeji yako aliyeripoti uovu kwa baba yako.
 
Pumba tu unaongea
 
Okay, umetoa jibu - hujamaliza elimu ya msingi
 
Cuba je???, tangu 1900s mpaka leo mwendo ni ule ule, Castro alikaa akazeeka akamwachia kaka yake naye kachoka kamwachia mtu wake. US wanaongeza vikwazo kila siku ila wanaoumia ni watu wa kawaida na sio viongozi.

Mfano mwingine ni Venezuela, wananchi ndio walioishia kuikimbia nchi lakini jamaa wa upinzani pamoja na push ya US imeshindikana kuingia Ikulu.

Kwa hyo wapinzani wawe waangalifu US siyo rafiki mzuri, anaangalia maslahi, akiona hulipi anakugeuka kama nn vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kuwa kuna.waliopewa Magari na US?, Wale waliopewa misaada ya Magari
 
Wamesahau ya Sadam Hussein katika vita vyake na Iran alikuwa anapata support toka USA lakini baadaye akaja kuwa adui wa Marekani.
Cuba je???, tangu 1900s mpaka leo mwendo ni ule ule, Castro alikaa akazeeka akamwachia kaka yake naye kachoka kamwachia mtu wake. US wanaongeza vikwazo kila siku ila wanaoumia ni watu wa kawaida na sio viongozi.

Mfano mwingine ni Venezuela, wananchi ndio walioishia kuikimbia nchi lakini jamaa wa upinzani pamoja na push ya US imeshindikana kuingia Ikulu.

Kwa hyo wapinzani wawe waangalifu US siyo rafiki mzuri, anaangalia maslahi, akiona hulipi anakugeuka kama nn vile.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu hawaijui hii nchi vizuri, mpaka leo hakuna high profile political figure defection kama ya Oscar Kambona na alikimbilia huko huko kwa akina Beberu alirudi nyumbani baada ya umauti kumkuta huko.

Alikuwepo mtaalam Prof. Babu, yeye alirudi home wakati aneshazeeka sana na kupoteza mvuto wake wa kisiasa...

Sisi yetu macHO. Corticopontine,

Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie wengine walikuwa hawajazaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimwangalia ZITO tabia ya usaliti alianza nayo toka zamani tangu enzi akiwa CHADEMA mabeberu wake walikuwa ni Serikali ya Kikwete iliyokuwa inamtumia kula hela zaidi

Alipoingia Magufuli alijua kuwa utaratibu ule wa awali utaendelea kwamba Magufuli ataendelea kumtumia Zito kudhoofisha Upinzani ndiyo maana wakati wabunge wenzie wa Upinzani wanasusia bunge yeye alibaki bungeni

Wakati Tundu Lissu anazunguka Ulaya na Marekani kumtukana Rais yeye alimtukana pia Lissu

Baada ya kujipima na kuangalia nguvu ya Ushawishi imeisha na hayupo wa kumbeba ikabidi ajisalimishe kwa Mabeberu wamtumie kuharibu Taswira ya nchi

Aliona wivu jinsi Lisu alivyokuwa maarufu kwa hiyo ameamua kumvuruga Lisu

Lakini tujiulize Marekani akiweka Vikwazo Tanzania ndo CCM itaondoka? Jibu hapana pia Zito akumbuke kwamba Nchi ikiwekewa Vikwazo huwa inajiweka kwenye State Urgency yaani wananchi huungana kuyakabili matatizo
Your vague abstractions and lack of specificity makes your post as vacuous as it is meaningless.

Your unsubstantiated ad hominem accusations paints your reasoning a pale hue of calcified small mindedness.

Small minds discuss people, average minds discuss events, great minds discuss ideas.

Give us just the facts please.

Speculations are like asses. Everyone has one.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cuba je???, tangu 1900s mpaka leo mwendo ni ule ule, Castro alikaa akazeeka akamwachia kaka yake naye kachoka kamwachia mtu wake. US wanaongeza vikwazo kila siku ila wanaoumia ni watu wa kawaida na sio viongozi.

Mfano mwingine ni Venezuela, wananchi ndio walioishia kuikimbia nchi lakini jamaa wa upinzani pamoja na push ya US imeshindikana kuingia Ikulu.

Kwa hyo wapinzani wawe waangalifu US siyo rafiki mzuri, anaangalia maslahi, akiona hulipi anakugeuka kama nn vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo cuba na venezuela ni sawa na tz !?...bora waweke tu hivyo vikwazo ili ile dhana ya tz kuwa shamba la bibi toka kwa wana ccm ife
 
Kuna watu humu wana akiri kama za kuku, wasomi lakini si waelevu, Marekani hajawahi kuwa na ajenda nyingine tofauti na masilahi yao, foreign policy zao ni kwa ajiri ya masilahi yao, ikibidi kuuwa wanaua na watamuunga mkono yoyote anayesaidia kulinda masilahi yao, kwa upande mwingine watampinga na hata kumuua yeyote anayesababisha wasinufaike hata kama anafanya hivyo kwa manufaa ya watu wake. Watu walafi kama Zito wanatakiwa kupingwa kwa nguvu zote, hawa ni vibaraka ni wanajeshi wa kukodi, kwao cha muhimu ni ujira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ikiwekewa vikwazo hivo, ndio tutajua kama CCM ni wazalendo wa kweli kwenye nchi hii au sio wazalendo (Kama ni wazalendo basi watakubali waachie madaraka, ili kuwanusuru wananchi kutaabika na shida za vibano hivo kutoka kwa mataifa yenye nguvu duniani).

Robert Mugabe hakuwa mzalendo wa nchi yake, alikua na tamaa ya madaraka na alikua muoga wa maisha yake (alikua na Personal Interest), na ndio maana baada ya kuwekewa vikwazo vikali Zimbabwe yeye aliendelea kung'ang'ani madaraka kwa nguvu mpaka wananchi waliadhirika kwa shida na njaa. Angekua mzalendo halisi basi angeachia madaraka ili kuwaokoa wananchi wake (hata kama ingetakiwa afungwe jela ili kuokoa taifa lake, basi angekubali).

Kuna toafuti kati ya "PERSONAL INTEREST" na "CIVILIAN INTEREST", yaani tofauti ya matakwa binafsi ya mtawala na matakwa ya wananchi/watawaliwa.
Sawa. Je in chama gani kilichokuwa cha upinzani kimeshinda kuongoza serikali ya Zimbabwe baada ya Mugabe?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ikiwekewa vikwazo hivo, ndio tutajua kama CCM ni wazalendo wa kweli kwenye nchi hii au sio wazalendo (Kama ni wazalendo basi watakubali waachie madaraka, ili kuwanusuru wananchi kutaabika na shida za vibano hivo kutoka kwa mataifa yenye nguvu duniani).

Robert Mugabe hakuwa mzalendo wa nchi yake, alikua na tamaa ya madaraka na alikua muoga wa maisha yake (alikua na Personal Interest), na ndio maana baada ya kuwekewa vikwazo vikali Zimbabwe yeye aliendelea kung'ang'ani madaraka kwa nguvu mpaka wananchi waliadhirika kwa shida na njaa. Angekua mzalendo halisi basi angeachia madaraka ili kuwaokoa wananchi wake (hata kama ingetakiwa afungwe jela ili kuokoa taifa lake, basi angekubali).

Kuna toafuti kati ya "PERSONAL INTEREST" na "CIVILIAN INTEREST", yaani tofauti ya matakwa binafsi ya mtawala na matakwa ya wananchi/watawaliwa.
Yaani muitoe CCM madarakani kwa Msaada wa watu wa Marekani?na wewe unaitisha kabisa kitendo kama hicho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom