Hivi Manara Perfume ziliishia wapi wakuu?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,707
Reaction score
25,479
Wakuu
Naomba kuuliza,miaka kama mitatu nyuma hapo ndugu Haji Sunday Manara aliwahi kuzindua perfume zake kwa mbwembwe nyingi sana,nakumbuka akawa anajimwambafai kuwa perfume zile bei ni shilling laki 1 kwa wakt ule.cha ajabu hizo perfume sikuwahi wala kuziona madukani.
Hivi ziliishia wapi?
 
Kale kajamaa kanaeleweka? Kanatafuta kick tu.....never take him serious. Si mnaona alivyojiumbua hivi sasa kuwasema wafadhili wake huku akijimwambafai. Jamaa ni useless tu, hana mpango. Mtu anamsema baba yake kwa mabaya huyo ni mtu wa kumtilia maanani kweli?
 
Upo serious kabisa unamfuatilia Manara.
1. Yule ni mtoto wa MJINI mno.
2. Yule ni Mswahili sana.
3. Yule hana elimu.
4. Mlevi, pombe, sigara ndio kwao.
5. Chawa
5. Limbukeni, wanawake,Nguo nk
 
Alikuwa anapewa dili la kuwa balozi, ila kutokana na vimbwanga vyake wenye mzigo wakaona wampige chini.
 
Manara anajua kuvuta sigara tu na kutafuna mirungi
 
Otsterbay manara anawakula mnooo.. Alaf anakupaka hayo mapafyumuu
 
Yaani we jamaa mpaka leo hii bado unamchukulia serious Manara kweli, kale kajamaa ni chizi tu na mtu wa mihemko.....anaweza amka alfajiri hii na kuita press kuwa anataka kupiga punyeto hadharani waende kumhoji....wakifika anabadili gia angani.
 
Mkuu, yule chizi hatabiriki, anaweza anzisha kitu sasa hivi baada ya nusu saa akiwaza tu changu anayemnyima usingizi anaacha kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…