Hivi Managers wa kiume mkoje?

Manager ana haji ya kumpenda dada yako sema dada yako ni sitaki nataka haonyishi kuwa hamtaki manager ndio maana manager anaendelea kumfuatilia dada yako hana msimamo wa kumwambie manager kuwa mm sio type yako sitaki uniambie habari za mapenzi anajichekeshachekesha na tu tip anapoke

Kumbuka mke wangu nilimfuatilia mwaka mzima nda nikafanikiwa na ndio maana simuachi maana naogopa kufutilia tena mwaka kutafuta mwingine

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
 
Mdogo wangu yupo kwenye kampuni halafu ameshaniletea matatizo Manager wake anamtaka taka na yeye hana muda naye. I mean hawaendani; amemsumbua kuanzia mwezi wa kwanza hadi huu wasita na mpaka now amempa matatizo kabisa.

Sasa leo kaja home kasema haendi tena shughulini kisa huyo Manager, sasa mimi nifanyaje, na kazi kupata ni shughuli?
Suka mipango akamatiwe guest house siku izi bonge la dili takukuru ata ela ya taxi watakupa mlostishe bwege uyo
 
Back
Top Bottom