Hivi mambo ya Katiba Mikoani yanaendeshwaje? Mwenye kujua anijuze wajameni!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Mi sijui niseme nipo nyuma ya ratiba, Hakika Mi sijui. Naombeni mwenye majibu sawia anijuze tu!

Ratiba ya Katiba huku Mikoani inawafikiaje walengwa? Mi ningependa kumwona kila mtu anajaji na hila la Katiba.

Ama ndio utakuwa waraka wa M/kiti wa chama tawala?

Mi ckubaliani nayo hata punje!

Mwenye full data kuhusu mambo ya katiba naomwomba atujuze!

Nawakilisha JF Daima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…