sipati picha dogo na makofi ya baba daaahPole sana baba yake ni Afande nini?
hatakiwi kuwa mkali sana kwa mtoto kuna stage ambazo mtoto anapitia hizo za kulisha midoli na kusambaza vitambaa ni mambo madogo kwa mtoto katika ukuaji
Saidianeni kumfundisha na sio kamwaga maji kibao cha kushitukiza ..Mwisho mtamkomaza mtoto na viboko.
Pole sana baba yake ni Afande nini?
hatakiwi kuwa mkali sana kwa mtoto kuna stage ambazo mtoto anapitia hizo za kulisha midoli na kusambaza vitambaa ni mambo madogo kwa mtoto katika ukuaji
Saidianeni kumfundisha na sio kamwaga maji kibao cha kushitukiza ..Mwisho mtamkomaza mtoto na viboko.
Nasikia siku hizi wanafundishwa
a-for atm
b -for blackberry
c-for condomu
d- for dushelele
utawaweza wapi watoto hao
piga ngwara kabisa
sipati picha dogo na makofi ya baba daaah
nadhani kanatamani kuhama mtaa
hello!
Unataka kusema mtoto wa miaka mingapi ndo anafaa kuchapwamaana enzi zetu ilikuwa sio kuchapwa tu,mtu ulikuwa unakimbizwa na panga kabisa
Mimi mapanga yalishanikosa kosa sana
Sijui ningekuwa nauzaje sura mjini hapa loh
sipati picha dogo na makofi ya baba daaah
nadhani kanatamani kuhama mtaa
je hasira ya kunyimwa unyumba ? ukute tena kanafanana na mamakekofi la baba linauma, hasa kama kofi limebeba uchungu wa kukosa hela, kisa dili halijatiki....mtoto lazima aone maruweruwe
salama Husninyo ...? jifunze malezi ya katoto hapa kasije kukuletea mambo ya smile D for dushelele
ndio najifunza hapa fl, nisije kutaabika na malezi. Mi huyo mme ningekuwa namdunda. Hawezi kumpga mpga mtoto kizembe.
Kwa hiyo baba akipiga mtoto wife anamdunda baba hahaha ..
sipati picha dogo na makofi ya baba daaah
nadhani kanatamani kuhama mtaa
Akiguswa tu na mtoto utasikia ondoka hapa, hebu kalale wakati mtoto ndio katoka kuamka mda huo lol. Wamama tuna kazi..Hahaha
balaa hapo baba ana hasira za kukosa deal hapo hasira lazima ziishie kwa mtoto
Au anaangalia mechi timu yake imefungwa hapo lazima hasira kwa mtoto
Hahahaha! Unamdunda??? Swahiba unaringa vile una manyama eeh?ndio najifunza hapa fl, nisije kutaabika na malezi. Mi huyo mme ningekuwa namdunda. Hawezi kumpga mpga mtoto kizembe.
Dada umesahau enzi zile baba akikohoa tu watu wote mpo uvunguni
lakini baba kuwa mkali sometimes inasaidia
wengine tungekuwa neti humu