Mkuu pua ni njia ya kutokea soma swali yanatoka wapi kama pua ni njia!! na coment yako sijafurahishwa nayo hata kidogo huo sio ustarabu!Makamasi yanatoka Puani in advance ili usije kuuliza tena na Mavi yanatoka Matakoni kwenye tundu la haja kubwa
Kutokea wapi na yanatengenezwaje ni maswali mawili tofauti.Mkuu pua ni njia ya kutokea soma swali yanatoka wapi kama pua ni njia!! na coment yako sijafurahishwa nayo hata kidogo huo sio ustarabu!
Salivary gland ndio kazi yake hiyoswali la nyongeza, mate yanatokea wapi? hahaha
Swali la Nyongeza ili usije kuuliza tena.Haya futa miguu kalale ngoja walioelewa waje
Hahhh mkuu umeshindikanaSwali la Nyongeza ili usije kuuliza tena.
Swali : Watu wanafanyaje Mapenzi ?
Jibu: kwa kugusanisha vikojoleo. Yaani cha mwanamke na mwanaume
we uliesoma kuhusu cells ndio umueleweshe sasa....Soma kuhusu cells, hususan za binaadam. Utaelewa.
Mimba: If it is what you say it is, mama yake yesu alifanya na nani?Kutokea wapi na yanatengenezwaje ni maswali mawili tofauti.
Ni sawa na kuuliza maziwa ya ng'ombe yanatokea wapi...