Hivi majipu yameisha kweli?

Mr. Verossa

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
571
286
Nimeyamiss sana majipu yanayotumbuliwa na mkuu wa kaya naona kimya kimetawala inamaana majipu yameisha kweli?
 
Subiri utumbuliwe wewe au wako wa karibu kama mzazi au ndugu ndiyo utaona raha yake
 
nimeyamiss sana majipu yanayotumbuliwa na mkuu wa kaya naona kimya kimetawala inamaana majipu yameisha kweli?
Urais siyo kazi ya siku mbili. Inahitaji hazina kubwa ya hekima ili kubaki kwenye mstari. Inahitaji mikakati endelevu zaidi ya yote maono.

Hakukua na maono kwenye maamuzi tajwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…