Hivi majipu yameisha kweli?

Mr. Verossa

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
571
288
Nimeyamiss sana majipu yanayotumbuliwa na mkuu wa kaya naona kimya kimetawala inamaana majipu yameisha kweli?
 
nimeyamiss sana majipu yanayotumbuliwa na mkuu wa kaya naona kimya kimetawala inamaana majipu yameisha kweli?
Urais siyo kazi ya siku mbili. Inahitaji hazina kubwa ya hekima ili kubaki kwenye mstari. Inahitaji mikakati endelevu zaidi ya yote maono.

Hakukua na maono kwenye maamuzi tajwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom