structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 910
Hata Kinondoni ni Mahakama ya Mkoa wa Dar es salaam na kuna mahakimu wakazi wengi tu (RM,SRM) lakini mbona bado hawaendi huko?Kisutu ndo mahakama ya mkoa wa Dar es salaam kila mkoa una mahakama yake na mahakimu wake huitwa hakimu mkazi rejea muundo wa mahakama ile kuanzia mahakama ya mwanzo mpaka ya rufani...nijuavyo mimi ni hivyo nitasahihishwa nilipokosea maana sio mwanasheria mimi
Mahakama ya Kinondoni ni ya mkoa wa Dar es salaam?? ..ulizia hata kwa wajuzi bac kabla hjaandika!Hata Kinondoni ni Mahakama ya Mkoa wa Dar es salaam na kuna mahakimu wakazi wengi tu (RM,SRM) lakini mbona bado hawaendi huko?
Sasa si ndio ueleweshe?Hakuna anayejua kila kitu!Mahakama ya Kinondoni ni ya mkoa wa Dar es salaam?? ..ulizia hata kwa wajuzi bac kabla hjaandika!
Kisutu ndo mahakama ya mkoa wa Dar es salaam kila mkoa una mahakama yake na mahakimu wake huitwa hakimu mkazi rejea muundo wa mahakama ile kuanzia mahakama ya mwanzo mpaka ya rufani...nijuavyo mimi ni hivyo nitasahihishwa nilipokosea maana sio mwanasheria mimi
So kesi zote haswa za kisiasa lazima zianzie hapo@Julmiranda
Kwa sababu kila mara utasikia washitakiwa kufikishwa Mahakama ya kisutu bila kujali wako Dar sehemu gani. Mfano scopioni buguruni, uchaguzi kinondoni,nkKwa nini
Cko deep sana na mifumo ya kimahakama bt what I'know ni Mahakama ya kinondoni ni ya wilaya Kinondoni same to Samora ambayo ni ya Ilala na mahakama ya Temeke ambayo ni ya wilaya ya Temeke.. Kisutu inapata Power ya kusikiliza kesi ambazo zingefaa kusikilizwa high court under extended jurisdiction sec 173 CPA(Nimeuliza wajuzi)Sasa si ndio ueleweshe?Hakuna anayejua kila kitu!
Umejibu vizuri sanaCko deep sana na mifumo ya kimahakama bt what I'know ni Mahakama ya kinondoni ni ya wilaya Kinondoni same to Samora ambayo ni ya Ilala na mahakama ya Temeke ambayo ni ya wilaya ya Temeke.. Kisutu inapata Power ya kusikiliza kesi ambazo zingefaa kusikilizwa high court under extended jurisdiction sec 173 CPA(Nimeuliza wajuzi)
Mahakama ya Kinondoni ina hakimu mkazi kama ilivyo Kisutu lakini nadhani Kisutu ndio itakua mahakama kuu ya mkoaSasa si ndio ueleweshe?Hakuna anayejua kila kitu!
Mi mswahili ndugu yangu ungenisaidia ingekua poa mkuuTumia kiingereza kueleza muundo wa mahakama italeta kuelewa
Mi mswahili ndugu yangu ungenisaidia ingekua poa mkuu
Kinondoni siyo mahakama ya mkoa wa Dar es Salaam, mtu kuwa RM haimaanishi kuwa mahakama aliyopo ni RegionalHata Kinondoni ni Mahakama ya Mkoa wa Dar es salaam na kuna mahakimu wakazi wengi tu (RM,SRM) lakini mbona bado hawaendi huko?
Katika mfumo wa mahakama hatuna kitu kinaitwa mahakama ya Mkoa. Tuna Mahakama ya Hakimu mkazi (Resident Magistrate Court). Kuna historia ndefu ambayo ilipelekea kuwa na mahakama hiyo but before that tulikuwa na mahakama ya wilaya ambayo mpaka sasa bado ipo. Kwa hapa Dar kuna mahakama za hakimu mkazi mbili na pia sio lazima mahakama ya hakimu mkazi iwe katika mkoa. Zamani wakati Njombe ikiwa ni sehemu ya mkoa wa Iringa, pale Njombe kulikuwa na mahakama ya hakimu mkazi of which kwa mkoa wa Iringa by then kulikuwa na mahakama za hakimu mkazi 2. Nadhani kidogo naweza kuwa nimechangia kufafanua pale ulipoomba masahihishoKisutu ndo mahakama ya mkoa wa Dar es salaam kila mkoa una mahakama yake na mahakimu wake huitwa hakimu mkazi rejea muundo wa mahakama ile kuanzia mahakama ya mwanzo mpaka ya rufani...nijuavyo mimi ni hivyo nitasahihishwa nilipokosea maana sio mwanasheria mimi
Hakuna mahakama ya mkoa kwenye muundo wa mahakama. Kuna mahakama ya wilaya ambayo ndiyo hiyo hiyo mahakama ya hakimu mkazi. So ukisikia mahakama ya wilaya basi ujue hakimu wake ni hakimu mkazi na anaweza kaa kwenye mahakama yoyote ya hakimu mkazi. Siku hizi hata mahakama za mwanzo wanaajiriwa mahakimu wakazi. So Kisutu na mahakama ya Wilaya Kinondoni zote zina mamlaka MOJA kisheria. Suala la kwanini kesi nyingi zinafunguliwa Kisutu ni masuala tu ya Kijiografia (Territorial jurisdiction) na Kisutu ndio ina territorial jurisdiction ya Dar (Ufafanuzi wa kina wahitajika so tafuta mjuzi akuelekeze)Kisutu ndo mahakama ya mkoa wa Dar es salaam kila mkoa una mahakama yake na mahakimu wake huitwa hakimu mkazi rejea muundo wa mahakama ile kuanzia mahakama ya mwanzo mpaka ya rufani...nijuavyo mimi ni hivyo nitasahihishwa nilipokosea maana sio mwanasheria mimi