Hivi mafisadi wa ufisadi huu watafikishwa lini kwenye mahakama ya mafisadi

viwanda

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
697
749
1. Escrow
2. Lugumi
3. Rada
4. Uda
5.Richmond
6.Bandari
7.mil 7 kila dakika
8. Yule jamaa wa nyumba 70
9. n.k
 
Mmmh...hii ndo Tanzania...wewe ulidhani siasa zimeisha?style tu ndo imebadilika...sasahvi ni kamata wapinzani tu...ili tupige vizuri
 
Back
Top Bottom