PLATO MAGELE
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 203
- 54
Mkuu pamoja na maelezo ya kijiolojia uliyotoa mbona upatikanaji wake ni wanaeneo fulani tu, i.e they are not equally distributed. Why? Kwa mfano, kuna baadhi ya nchi zinamadini mengi sana, zingine hakuna au upatikanaji wake ni kidogo.
anzia kwenye climatic conditions utapata majibu.....climate inavary from one place to another [hapa pana sababu zake pia ]...
Pia rejea sababu za kufanyika kwa miamba
Nickia harufu ya shetani ime tanda leo humu ndani!
Nenda shule.
Kwa nini unaulizia madini??
Kwa nini sio udongo...au mawe...!
Nickia harufu ya shetani ime tanda leo humu ndani!
kiongozi usicheke jamaa ameshitukia u-freemason katika hili!!hahahhahahahahahahah
kiongozi usicheke jamaa ameshitukia u-freemason katika hili!!
o-level ndo nini!mm siamini katika hiyo sayansi ya dunia,naamini katika hiyo uliyoiita faith!Jamani badala ya kusema u-freemason, jaribu hata kidogo kuwa na ufahamu wa kishule. Maana inavyoonekana hujawahi hata kusoma kitu kinachoitwa Geography au Biology kwa O-level. Angalau ungekuwa hata na kaufahamu kadogo katika mambo haya. Kweli inasikitisha sana maana inaonesha kuwa baadhi ya watu hawajapata fursa ya kwenda shule. Nasikitika sana kwa kucheka na kusema u-freemason. Kweli safari bado ndefu. Ama kweli Faith is very dangerous.
o-level ndo nini!mm siamini katika hiyo sayansi ya dunia,naamini katika hiyo uliyoiita faith!