Nafikiri huu ndo ukweli wenyewe!Hiyo ni sawa na serikali kukuta dhahabu shambani kwako inakuwa ni yao ila wakikuta bangi ni yako ndiyo maana wanachoma bangi yako hadharani ukiona
kuna mtu nilimuuliza hilo swali akasema huwa zinatumika kama nusu kaputi kwenye baadhi ya operation na maabara kwenye baadhi ya practical ila sina uhakika kabisa na hayo maelekezo yake naona watakuwa wanarudisha mtaani kimyakimya maana mapusha hawajawahi kukosa hizo mambo wao wanauza tu utazani wana kiwandaHabari wana jf
Hili swala nimekuwa nikijiuliza mara nyingi na ni kwasababu sijawahi kushuhudia madawa ya kulevya (unga) ukiteketezwa hadharani kama vilivyo vitu vingne hatarishi kama bidhaa zilizopitwa na wakati,mashamba ya bangi kuchomwa moto na wakati mwngne hadi na silaha haramu pia huchomwa moto hadharani!
Lakini kwanini sio madawa ya kulevya?? Je huwa yanapelekwa wapi baada ya kukamatwa ?? Ama serikali kuna mapato inaingiza kwa kuyauza kwa wazee wa unga?? Na kama sivyo huwa wanayateketezaje????
Nawasilisha.
Habari wana jf

Alafu yanatajwa na thamani yake kabisa siku yakikamatwa utasema ni biashara halali (bei sijui huwa wanazipata wapi hawa polisi au soko lake wanalijua)Sio rahisi kuchoma pesa
Tutauza tukikumbwa na njaa ili zinufaishe wote.Ni punguani pekee atakaeteketeza ile kitu. Hiyo wameshindwa kuipa hadhi ya nyara za serikali tu, kama zilivyo pembe za ndovu. Pembe za ndou wanasema biashara yake ni haramu lakini wanazihifadhi, tena kwa ulinzi na gharama ya juu
Mi hadi leo hii sijapata jawabukuna mtu nilimuuliza hilo swali akasema huwa zinatumika kama nusu kaputi kwenye baadhi ya operation na maabara kwenye baadhi ya practical ila sina uhakika kabisa na hayo maelekezo yake naona watakuwa wanarudisha mtaani kimyakimya maana mapusha hawajawahi kukosa hizo mambo wao wanauza tu utazani wana kiwanda
Hata mimi nashangaa na ndo mana vita yake ni ngumu sana kuishaNi punguani pekee atakaeteketeza ile kitu. Hiyo wameshindwa kuipa hadhi ya nyara za serikali tu, kama zilivyo pembe za ndovu. Pembe za ndou wanasema biashara yake ni haramu lakini wanazihifadhi, tena kwa ulinzi na gharama ya juu
Masahihisho kidogo Mkuu. Katik Kiswahili Sanifu hakuna neno Madawa bali kuna neno Dawa hata kama unawasilisha uwingi wake. Hivyo ulitakiwa useme dawa za kulevya na siyo madawa ya kulevya. Nakipenda sana Kiswahili chenu halafu huwa nasikitika hadi kuumia pale nikiona Mimi Mgeni hapa nchini Kwenu Tanzania nakijua Kiswahili kuliko nyie wenye lugha na nchi yenu.