Hivi Madaktari (MD) nao wanaumwaga na kulazwa kabisa au hadi kufa?

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,561
11,443
Hello,

Mimi kama Wadiz a.k.a Baharia

Naumia sana na roho mbaya, majidai na dharau za za baadhi ya Madaktari kwa wagonjwa ni kero tishio, baadhi wanajikuta sana hadi najiuliza hivi hawa wana kinga ya kuumwa na kufa, au wana bima ya uhai wa maisha yao.

Kuna wimbi la kutuandikia madawa lundo ya kutuangamiza, kusudi tu ili wauze ofisi zao ziuze dawa, hawana huruma na hawana hofu ya Mungu.

Jamani ni hatari sana hii dunia na maisha ya sasa, baadhi yao wanaharibu mbususu za Dada, mama, shangazi, wake nyakati za kujifungua wanaongezea njia kubwa makusudi kuharibu tu mbususu kisa wivu tu.

MDs jueni kuna Mungu hukumu ni hapa hapa.

Wadiz
 
Miongoni mwa watu wanaougua mara nyingi ni watoa huduma za Afya kwa sababu wana high rate of contact na wagonjwa wanaowahudumia ... So kuumwa wanaumwa tena mara nyingi kuliko wengine
 
miongoni mwa watu wanaougua mara nyingi ni watoa huduma za Afya kwa sababu wana high rate of contact na wagonjwa wanaowahudumia ... So kuumwa wanaumwa tena mara nyingi kuliko wengine
Wajeuri, wajivuni na roho katili hawa jamaa
 
Nilikwenda hospital moja na bima yangu wakanipima wakanambia mkojo mchafu.
Nikauliza nini tatizo? wakasema kunywa maji kwa wingi, nikauliza tena nini tatizo? Nikapewa dawa nikaondoka shingo upande. Lakini zile dawa zikawa zinanizidi nguvu wiki mbili nipo ndani tu jua sijaliona. Nikaanza kufanya ganzi mara ganzi ya mkono mara miguu mara kiuno kimeganda nikasema nitakufaa. Nikatoka nje ya nchi nikaenda hospital nchi fulani kupima mkojo wakanambia nina protein nyingi kwenye mkojo. Inabidi nipimwe mkojo masaa 24 kumbe kidney na liver zimefeli. Nikasema wale madaktari wa Tanzania mamaza…ooo
 
Pole
 
Unaendeleaje mkuu Pole sana.
 
Hello,

Mimi kama Wadiz a.k.a Baharia

Naumia sana na roho mbaya, majidai na dharau za za baadhi ya Madaktari kwa wagonjwa ni kero tishio, baadhi wanajikuta sana hadi najiuliza hivi hawa wana kinga ya kuumwa na kufa, au wana bima ya uhai wa maisha yao.

Kuna wimbi la kutuandikia madawa lundo ya kutuangamiza, kusudi tu ili wauze ofisi zao ziuze dawa, hawana huruma na hawana hofu ya Mungu.

Jamani ni hatari sana hii dunia na maisha ya sasa, baadhi yao wanaharibu mbususu za Dada, mama, shangazi, wake nyakati za kujifungua wanaongezea njia kubwa makusudi kuharibu tu mbususu kisa wivu tu.

MDs jueni kuna Mungu hukumu ni hapa hapa.

Wadiz
Ma MD wengi wa miaka hii, wako substandard na wamejaa ego ya kishamba.

Kwa kifupi ni ma CO waliochangamka tu, uwezo wao unatia shaka sana.

Ukiweza katibiwe na specialist tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom