Hivi Madabida na Kimbisa walitetea nafasi zao za Mwenyekiti wa CCM mkoa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,962
141,963
Najua mzee Diallo pale Mwanza alifanikiwa kutetea kiti chake, ila wawili hawa Kimbisa wa Dodoma na Madabida wa Dsm sijapata taarifa zao. Anayejua tafadhali!
 
Madabida alifukuzwa uanachama na Kimbisa alipewa onyo kali....Wote hawa hatuwatarajii hata kugombea uenyekiti wa CCM wa kijiji hata mtaa
 
Najua mzee Diallo pale Mwanza alifanikiwa kutetea kiti chake, ila wawili hawa Kimbisa wa Dodoma na Madabida wa Dsm sijapata taarifa zao. Anayejua tafadhali!

Boss johnthebaptist Kwa taarifa yako tu, Mzee Madabida yupo rumande, ana kesi ya kujibu ya kuhujumu uchumi, majuzi tu amekosa dhamana, amerudishwa rumande mpaka Dec 15. Uwe unapenda kujisomea na kupitia habari mbali mbali.
 
Back
Top Bottom