johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,874
Najua mzee Diallo pale Mwanza alifanikiwa kutetea kiti chake, ila wawili hawa Kimbisa wa Dodoma na Madabida wa Dsm sijapata taarifa zao. Anayejua tafadhali!
Ahsante kwa kunijuza, hii CCM ni mpya!Walipigwa chini
Mkuu wewe upo dunia gani?Najua mzee Diallo pale Mwanza alifanikiwa kutetea kiti chake, ila wawili hawa Kimbisa wa Dodoma na Madabida wa Dsm sijapata taarifa zao. Anayejua tafadhali!
Mkuu wewe upo dunia ipi?Najua mzee Diallo pale Mwanza alifanikiwa kutetea kiti chake, ila wawili hawa Kimbisa wa Dodoma na Madabida wa Dsm sijapata taarifa zao. Anayejua tafadhali!
Mkuu wewe upo dunia gani?
Msdabida alifukuzwa ccm siku nyingi kwa usaliti.
Najua mzee Diallo pale Mwanza alifanikiwa kutetea kiti chake, ila wawili hawa Kimbisa wa Dodoma na Madabida wa Dsm sijapata taarifa zao. Anayejua tafadhali!
Walipigwa chini
Nashukuru mkuu mimi nilijisomea habari za Sophia Simba kurejea CCM!Boss johnthebaptist Kwa taarifa yako tu, Mzee Madabida yupo rumande, ana kesi ya kujibu ya kuhujumu uchumi, majuzi tu amekosa dhamana, amerudishwa rumande mpaka Dec 15. Uwe unapenda kujisomea na kupitia habari mbali mbali.
Hahahaa.....!!!Madabida tena ?? Usawa huu sio MKUU ukijichanganya tu chaliiiii ,
Madabida Labda agombee unyapara Mahabusu
Ahsante kwa kunijuza, hii CCM ni mpya!
Hahahaa...... mkuu Pohamba swahiba wako yule!!Madabida Labda agombee unyapara Mahabusu
Siyo mbaya..Madabida family ni moja ya waliofikisha kiwanda cha Tanzania Pharmacetical Industry kuwa kaputi kabisa.Madabida Labda agombee unyapara Mahabusu