Hivi Lowasa kamtaja Jk?

Hivi Lowasa kamtaja Jk?

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
4,253
Reaction score
1,475
"Baada ya kugundua kuwa ule mkataba hauwezi kutufikisha pazuri niliita makatibu na mawaziri nikawambia mimi ni mtaalamu wa kuvunja mikataba mibovu,naomba na huu niuvunje,nikawasiliana na viongozi wa juu(rais) na baada ya masaa machache mjumbe akatuletea majibu kuwa mkataba huu usivunjwe"

»»Iifahamike nukuu hii si neno kwa neno.

je nani hapa anahusika?
 
sasa hilo swali au jibu?jk aliuza nchi tokea hapo tuko utumwani tunahitaji kukombolewa
 
Na ule ushahidi wa ufisadi mliokuwa mnao mlitoa wapi?
 
Kwa hiyo Lowasa si fisadi tena?
2 different things:.1.EL alikuwa anatuhumiwa kwa ufisadi....2..EL alikuwa fisadi!
La kwanza hapo ndo sahihi na leo kasema hapo mwenyewe that yeye alitaka mkataba uvunjwe ila mkubwa kasema NO!...so mhusika mkuu hapa ni kikwete na sio lowasa.
Conclusion...Lowassa si fisadi
....mkulu ni fisadi (kwa mantiki hiyo)
 
Wenyewe mulisema muna ushahidi leo sio fisadi hivi munafikiri watanzania ni wasahaulifu kama mulivyo nyinyo
 
sasa hilo swali au jibu?jk aliuza nchi tokea hapo tuko utumwani tunahitaji kukombolewa
Inatakiwa ukapimwe akili mwafrika,unajua utumwa au mavi imekubana?nchi ni huru kama umekerwa na uongozi jiandikishe halafu Pig is Ukawa,kama wewe ni mtumwa ni ujinga wako,wengine hatujaajiriwa tumejiajiri.
 
Hahaaa mkuu Lizaboni we ni one man army aiseee!!!

Huyu hajielewi wenzake wote baada ya kung'am ua titanic inazama wamelikimbia jukwaa. Vichwa vinauma- how did we come to this?
 
Last edited by a moderator:
"Baada ya kugundua kuwa ule mkataba hauwezi kutufikisha pazuri niliita makatibu na mawaziri nikawambia mimi ni mtaalamu wa kuvunja mikataba mibovu,naomba na huu niuvunje,nikawasiliana na viongozi wa juu(rais) na baada ya masaa machache mjumbe akatuletea majibu kuwa mkataba huu usivunjwe"

»»Iifahamike nukuu hii si neno kwa neno.

je nani hapa anahusika?

Mkuu nafikili umenukuu vibaya, labda ulikua na haraka kuleta uzi wako. Hakusema aliwasiliana na uongozi wa juu yeye mwenyewe (lowasa), isipokua alimwambia katibu (nishati na madini) kwamba wasiupitishe, katibu akaomba saa 1 akatoka nje kisha aliporudi akasema (katibu) nimepewa mamlaka kutoka juu kwamba mkataba upitishwe.
 
Richmond ni ya jk alikuwa anakusanya hela za kampeni 2010.
Sasa tumegundua kumbe alikuwa ni mwenyenyumba aliyefanya udhalimu wa Rich mund ndiyo maana alishindwa kumshitaki alishindwa kumshitaki lowassa, eeee- bwana sasa kimeeleweka, malaika akiingia CCM asubuhi anakuwa shetani mwekundu. Kumbe?
 
Back
Top Bottom