Hivi Lowasa kamtaja Jk?

Hivi Lowasa kamtaja Jk?

Inatakiwa ukapimwe akili mwafrika,unajua utumwa au mavi imekubana?nchi ni huru kama umekerwa na uongozi jiandikishe halafu Pig is Ukawa,kama wewe ni mtumwa ni ujinga wako,wengine hatujaajiriwa tumejiajiri.

Acha lugha chafu jibu kwa hoja!!! Imekukamata hiyo!!!
 
2 different things:.1.EL alikuwa anatuhumiwa kwa ufisadi....2..EL alikuwa fisadi!
La kwanza hapo ndo sahihi na leo kasema hapo mwenyewe that yeye alitaka mkataba uvunjwe ila mkubwa kasema NO!...so mhusika mkuu hapa ni kikwete na sio lowasa.
Conclusion...Lowassa si fisadi
....mkulu ni fisadi (kwa mantiki hiyo)

Am in agreement with ya comment... Yaani picha ndio lilivyo.
 
Upepo ukivuma lazima uone nyeti za kuku... na zimeanza kuonekana
 
Lowasa kachanganyikiwa. Ndo maana alikuwa anajiuma uma

Pathetic....! Hebu pumzika kidogo utazirai kwa uchovu.... Manake sasa tukimuweka LOWASSA na wewe sijui nani ataonekana kachanfanyikiwa
 
Jaman haya maneno n mazito kila mtu afikilie kwa kina tangu mwanzo wa tatizo hadi hapa sasa kama wakat wa richmond ulikuwa ujajitambua basi mulize mkubwa wako aliyekuwa anafatilia hiyo ishu kwa makn then ndo muongee sasa
 
Lowassa sio fisadi Dk. Slaa alitudanganya kwenye ile LIST OF SHAME ndio maana leo hakuwepo kusutwa...... kakimbia na Lowassa kasema kama anaushahidi alete au aende mahakamani.
 
"Baada ya kugundua kuwa ule mkataba hauwezi kutufikisha pazuri niliita makatibu na mawaziri nikawambia mimi ni mtaalamu wa kuvunja mikataba mibovu,naomba na huu niuvunje,nikawasiliana na viongozi wa juu(rais) na baada ya masaa machache mjumbe akatuletea majibu kuwa mkataba huu usivunjwe"

»»Iifahamike nukuu hii si neno kwa neno.

je nani hapa anahusika?

Ebu tafuta nukuu nzuri uweke... hii ya kwako wala haikaribiani na iliyotamkwa na mhusika..!!#
 
Kwa hiyo Lowasa si fisadi tena?
Tumwagie ushahidi kuwa Lowasa ni fisadi au anahusikaje na Richmond?
Mwaga data za kuweleweka sio kusema fisadi tu bila maelezo.
Yeye kasema mamlaka ya juu ndio ilyomzuia yeye asiuvunje mkataba wa Richmond, sasa nyinyi magamba mkanushe hizi habari kwa fact data.
 
Kikwete alivyoitetea Escrow, alafu baadae akamtimua Tibaijuka.., inanifanya nimuamini EL.
 
Mamlaka iliyo juu ya waziri mkuu ni "ikulu"
 
kidogo Lowasa atakuwa huru, japokuwa alitakiwa kuyasema hayo mara tu,sisi kina gogo la shamba tulipomshauri aweke kila kitu wazi alafu asepee chadema
 
Back
Top Bottom