shayookoko
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 467
- 277
Kwanini slaa hakuwepo? Inamaana hakubaliana na maamuzi magumu?
Kwa hiyo Lowasa si fisadi tena?
Kikwete alivyoitetea Escrow, alafu baadae akamtimua Tibaijuka.., inanifanya nimuamini EL.
"Baada ya kugundua kuwa ule mkataba hauwezi kutufikisha pazuri niliita makatibu na mawaziri nikawambia mimi ni mtaalamu wa kuvunja mikataba mibovu,naomba na huu niuvunje,nikawasiliana na viongozi wa juu(rais) na baada ya masaa machache mjumbe akatuletea majibu kuwa mkataba huu usivunjwe"
»»Iifahamike nukuu hii si neno kwa neno.
je nani hapa anahusika?
yaani sasa hivi timu mafisadi (ccm) sana sana mkuu wa kaya Baba riz anajamba tu huko, kumbe Hilo ndiyo jizi number one la nchi hii!!
Hiyo nisawa na kumdanganya mtoto kuwa kidonge kichungu ni pipi ili ameze au atafune, ghafla anapo kionja hukitema mara moja.Ndo hoja za el na richmond 100% inamuhusu sana tu.
Lowassa kuhama ccm pekee kumenifanya nimuone msafiii
Tumwagie ushahidi kuwa Lowasa ni fisadi au anahusikaje na Richmond?
Mwaga data za kuweleweka sio kusema fisadi tu bila maelezo.
Yeye kasema mamlaka ya juu ndio ilyomzuia yeye asiuvunje mkataba wa Richmond, sasa nyinyi magamba mkanushe hizi habari kwa fact data.
yaani Leo naona raha Sana, kumbe Baba riz ndiyo mwenye Richmond!!
"Baada ya kugundua kuwa ule mkataba hauwezi kutufikisha pazuri niliita makatibu na mawaziri nikawambia mimi ni mtaalamu wa kuvunja mikataba mibovu,naomba na huu niuvunje,nikawasiliana na viongozi wa juu(rais) na baada ya masaa machache mjumbe akatuletea majibu kuwa mkataba huu usivunjwe"
0303Iifahamike nukuu hii si neno kwa neno.
je nani hapa anahusika?
Mkuu nafikili umenukuu vibaya, labda ulikua na haraka kuleta uzi wako. Hakusema aliwasiliana na uongozi wa juu yeye mwenyewe (lowasa), isipokua alimwambia katibu (nishati na madini) kwamba wasiupitishe, katibu akaomba saa 1 akatoka nje kisha aliporudi akasema (katibu) nimepewa mamlaka kutoka juu kwamba mkataba upitishwe.