Hivi love bite inawekwaje?

Hivi love bite inawekwaje?

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,883
Reaction score
2,786
Mie natamani kujua jinsi ya kumpatia mwenza love bite lakini kila nikimng'ata sioni chochote au anatakiwa ang'atwe hadi dam itoke? Nijuzeni jamani
 
Inategemea rangi na ngozi ya mpenzi wako, kama ana ngozi nyeusi sana, kavu na ngumu, hawezi kupata hayo makitu.
 
Mie natamani kujua jinsi ya kumpatia mwenza love bite lakini kila nikimng'ata sioni chochote au anatakiwa ang'atwe hadi dam itoke? Nijuzeni jamani

Kinga ya UKIMWI utafanyaje ??
 
Uuuuuuwiii mambo ya kunyonywa shingo na mashavu lazima ibaki alama
 
Back
Top Bottom