CV ya Prof. Ibrahim Lipumba, msomi, mtumishi aliyetukuka na mwanasiasa mvumilivu

Ninaweza kupingana na Lipumba kwenye masuala ya kisiasa, lakini kuhusu shule yake siwezi kumpinga.

Nchi za Afrika zina matatizo mengi, mtu anaweza kuwa na elimu ya kutosha lakini akajikuta kazungukwa na wanafiki wengi, waongo na watu wenye roho mbaya ambazo hazina sababu.
Umenena

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Tatizo huenda ni 'self awareness'.Angalia ile vurugu aliyosababisha kule cUF.Haiingii akilini kabisa msomi aliyetakiwa kuwa nuru amepeleka sintofahamu kubwa na kuzua faraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisikia mtu anatumia elimu yake vilivo basi Lipumba ni mmoja wapo.
Huyu bwana ni profesa wa uchumi hivo alivofanya ni kujiweka kando uchaguzi wa 2015 ili wengine wahangaike kutafuta wabunge wa chama chake na alipoona chama hicho kimepata wabunge kiasi na kwamba ruzuku si haba akaamua kurejea kama mwenyekiti 'do or die'.
Sasa kapata alichovuna Mungu si Athumani ruzuku anatia mfukoni kupitia wabunge wa Jamhuri.
Wasiwasi wangu baada ya Maalim Seif na wanachama wengi kuapa "alipo tupo" kwenda ACT Wazalendo hao wabunge nao wakaamua mwaka mmoja ulobaki si hoja wakaamua kuachia majimbo yao sijui itakuwaje!
Labda afanye mpango wa kuchukua ruzuku 'in advance' kama inawezekana.
Huyu ndo mchumi bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameshatumika na ccm!
Hiyo ruzuku mwisho mwaka huu tu!
Sidhani kama uchaguzi wa mwakani atapata wabunge Wengi!
 
Wale wabunge wanaomuunga Maalim Seif Mkono ni bora wakaondoka kabla ya kufukuzwa mana Lipumba atawafukuza wote ama sivyo itabidi wamuunge mkono na kuhudhuria vikao.

Siamini kuwa Wazanzibar ambao sio SiSeMi wanaweza kukubali kuunga mkono Dhulma ya wazi kwa sababu tu ya maslahi.

Zanzibar wameiva sana kwenye siasa na Siasa kwao ni itikadi hasa wale walioko nje ya CCM .
Tanganyika ndio bado siasa ni maslahi tena ubinafsi. Ndio maana bara mtu anaweza kumtukana mume wake au watoto au wazazi wake na ndugu au kiongozi wa dini kwa kuahidiwa maslahi na wanasiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila namwulumia sana maalim uko alipo kwenda, inawezekana ameruka majivu kuangukia kwenye motto, kale kajamaa kwenye chama ni super kigeu geu akachelewi kumuuza mzima mzima!
 
Back
Top Bottom